VICHEKESHO-VYA-KILEO-TUU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi

JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa?

FANYA HAYA;

1. Kopa mkopo mkubwa benki

2. Nunua gari bovu la biashara

3.Oana na mke mwenye kelele.

Ukiona miezi mitatu hakijaisha basi ujue umevimba BANDAMA sio kitambi..

😂😂 😂 😂😂


V.gif Wasichana wafupi wanafurahisha

Wasichana wafupi wananifurahisha sana…. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx 😁😁😁😁😀

😂😂 😂 😂😂


V.gif Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unakuwa wazi…Sisi kwa USTAARABU huwa tunaangalia pale PALIPOFUNIKWA..Hatutaki Dhambi za Kijinga kabisa Sisi…

😂😂😂😂😂😂

😂😂 😂 😂😂


Ungekua wewe ndo umemfumania dada yako hivi ungefanyaje?

IMG-20160323-WA0009.jpg

Je hii ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160321-WA0048.jpg

Namna ambayo unaweza ukawa unawachanganya malaika

MALAIKA-UNAWACHANGANYA.jpg

Unakumbuka enzi hizi za shule ya msingi?

IMG-20160502-WA0048.jpg

Cheki ndama wa kidigitali

IMG-20160407-WA0030.jpg

Kilichompata jamaa baada ya kujiunga group la WhatsApp

magroup-ya-whatsapp.jpg

.

page 1 of 30770123...3076930770next »

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG
KADI-MZAZI-ASUBUHI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.