VICHEKESHO-VIHOJA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Sitasahau mwaka huu

Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kazi😂😂

😂😂 😂 😂😂


V.gif Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hii dunia kweli haina haki, soma hii

🙇🏾the world is not fair

Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,?

Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💤

😂😂 😂 😂😂


Tofauti ya wageni wa zamani na wageni wa sasa

wageni-wa-sasa.jpg

Wafungwa wengine wahuni, cheki walichomfanyia huyu afande

wafungwa-wahuni.jpg

Kama una mpenzi zaidi ya mmoja soma hapa

IMG-20160124-WA0033.jpg

Kama upo kwenye mahusiano na mtoto wa mtu kwa muda mrefu sasa na hamjaoana soma hili linakuhusu

IMG-20160313-WA0002.jpg

Dongo kwa wanawake

IMG-20160511-WA0001.jpg

House girl atapaa kama malaika, huyu mama ni shida

IMG-20160323-WA0006.jpg

.

page 1 of 30764123...3076330764next »

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG
Slide2-mabesti-utotoni.PNG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.