VICHEKESHO-SASA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake

Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
''YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapa…!!!

Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA…!!!"
Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee

JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEโ™ฅ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya

Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo

Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:

MCHUNGAJI: My name is Pastor Livingstone
MKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishi
MCHUNGAJI: We thank God for All goals we set by our hands
MKALIMANI: Tunamshukuru Mungu kwa Magoli yote tuliyoweka kwa Mkono

Hivi navyoongea kanisa halina viti waumini wote tumekimbia nje naona Mkalimani amebaki na kiatu cha kushoto tu.
Sunday joke

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Duu! Jamaa kakalia moto akiwa uchi

1926679_212703985595773_381057297_n.jpg

Vile utakavyokuwa kama utaendelea kufanya mazoezi mpaka uzeeni

kababu.jpg

Kama ningekua ndege ningekifanya hiki

ningekua-ndege.jpg

Pale mnapovuta bangi na mshikaji wako siku ya kwanza

toroli.jpg

Hivi ugali wa mahindi haya utakuaje? ni shida

IMG-20160321-WA0045.jpg

Ulishawahi kuona viatu vinashonwa na compyuta? hawa jamaa bwana

IMG-20160406-WA0015.jpg

.

page 1 of 37934123...3793337934next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahiliV.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

picha-kali.png
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.