VICHEKESHO-KWANZA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.
Diobeeni dipone
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana Chezea
Bafua

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Wadada wasiojua kuogelea wanavyokuwa wakienda kuogelea

wadada-wasiojua-kuogelea.jpg

Tofauti ya wageni wa zamani na wageni wa sasa

wageni-wa-sasa.jpg

Uharamia ndio unaanzia kama huku

ubabe-utoton.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Wadada wasiojua kuogelea wanavyokuwa wakienda kuogelea

wadada-wasiojua-kuogelea.jpg

Mara paaa! simba huyo, Ungekua wewe ndio huyu jamaa hapa ungefanyaje?

bahati-maya-mwituni-simba.jpg

.

page 1 of 38483123...3848238483next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Angalia nilichomfanyia huyu mwiziV.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
tafuta-rafiki.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.