Vichekesho

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe?

DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.

BABA: Kwanini unasema hivyo?

DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.

ungekua wewe ungemjibu nini

😂😂 😂 😂😂


V.gif Mambao ya saluni ni shida, cheki kilichotokea kwa huyu

DADA alienda Salon wakati anasukwa akaingia
MKAKA mtanashati,
DADA akaamua kujaribu bahati yake.
DADA:Mambo? KAKA:Poa.
DADA:Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?
KAKA:Kuhusu nini?
DADA:Nimekupenda nataka nikutoe out.
KAKA:Sawa ila nitamwambia nini
MKE wangu?
DADA:Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
KAKA:Mwambie mwenyewe huyo hapo anayekusuka.Unajua nn kiliendelea?

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia huyu jamaa alivyoachika na msichana wake kwa kujidai kuongea kingereza na mwishowe kuchanganya maneno

MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me.
MSichAnA: eeeh unaniambia hivo mimi?
JAMAA: nakuomba sana forget me.
MSICHANA: aya bwana poa maisha mema.

Msichana anakata simu jamaa ndo ananiuliza."sasa
sijui amekasirikia lipi?" Mi nikamwambia we zuzu
umemwambia AKUSAHAU, dah, kumbe
ningemwambiaje? hahaha, ungemwambia
ForgivE me! au Ungesema Tu NaombA nSameHe.

😂😂 😂 😂😂


Umeshawahi kuona hili

IMG-20160510-WA0000.jpg

Tatizo linalowakabili waendesha bajaji hili hapa, ni shida!

IMG-20160406-WA0006.jpg

Je hii ni kweli kama hukupigwa na vitu hivi saivi unapigika na maisha?

IMG-20160303-WA0003.jpg

Huyu nyani ka mtu vile

nyani-akisoma-gazeti.jpg

Haka kaugonjwa ka huyu jamaa kwenye simu ni noma, mwangalie anachofanya

IMG-20160419-WA0019.jpg

Madhara ya mtoto kulelewa bila baba ndo haya

IMG-20160406-WA0003.jpg

.

page 1 of 33061123...3306033061next »

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-UNAVYOMMISI-NDUGU.JPG
Slide2-utotoni.GIF

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.