USIKOSE-HIZI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Sababu za kumuacha mke kama umemchoka

Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi

_
1. Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua… It's Over!!!
_
2. Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over!
_
3. Nimekupigia umepokea simu hapohapo. Huna subira. It’s over!!
_

4. Nilikwambia huwa napenda chakula cha moto lakini hujanipashia ice cream. Hunijali. It's over!
_
5. Nimekupa mayai mawili, moja uchemshe jingine ukaange. We umekaanga ambalo ulitakiwa kuchemsha na umechemsha ulilotakiwa kukaanga. Huniheshimu, It’s over!
_
6. Nimekuita DARLING na wewe ukaniita HONEY. Yani kwa maana nyingine unamuita mama yangu NYUKI. Huheshimu wazazi wangu, fungasha kilicho chako. its over.

πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜„

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Chezea kufulia!

Huu Mwezi jinsi nilivyofulia yaani hata nikikuta mende wamesimama wawili najua wananisema

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Kilichotokea baada ya kumdanganya mchungaji wangu

Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?

Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Pale unapozuia kuchafua hali ya hewa mbele ya X wako

bana-kujamba.jpg

Simu za tachi ni shida! Cheki hawa wanachokifanya na beby wake

IMG-20151116-WA0029.jpg

Hii ndio inaitwa midadi, Wenge limemzidi huyu jamaa

IMG-20160503-WA0015.jpg

Hii ndio hatari ya kuwa na msichana aliyeacha shule

aliyeacha-shula.jpg

Huyu mke kwa kupenda hela, Duh Mapenzi ni hela ya mme

IMG-20160502-WA0047.jpg

Huu uchizi

IMG-20160321-WA0042.jpg

.

page 1 of 37839123...3783837839next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wanguV.gif
picha-kali.png

.

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.