TIZAMA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Wanandoa wa Kijapani wakibishana

*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*

*Husband: Takamushi jiku.*
*Wife :hashi jiku mishihe*
*Husband: inamoto kushini hat a pi*
*Wife: jejeta takuna mota shinita*
*Husband: kituya sitina kutara*.
*Wife: totori yatika miniya*

_Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine_

😂😂😂😂😂😂

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!

Binti: Hallow mpenzi, Mambo

Jamaa: Poa baby

Binti:Uko wapi?

Jamaa: Niko town napata lunch

Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi

Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?

Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.

Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.

Binti: Kwanini dear?

Jamaa: Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia Kiingereza kilivyoniponza

Shikamoo kingereza..!

Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:

Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole!

Price: TSH 44,000/=

Nikaagiza!

Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na parachichi ..🤔

hapo ndo unagundua mwalimu wa kiingereza alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo🤒💨

😂😂 😂 😂😂


Ukisikia tetemeko la mguu ndio hili hapa sasa

indexoii.jpg

Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Pale meseji ya mchepuko inapoenda kwa mke

zuia-meseji.jpg

Ukisikia tetemeko la mguu ndio hili hapa sasa

indexoii.jpg

Ungekua wewe ndo umemfumania dada yako hivi ungefanyaje?

IMG-20160323-WA0009.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

.

page 1 of 28564123...2856328564next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Baadhi ya misemo mikali ya leoV.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

utotoni.gif
tafuta-ndugu.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.