STAAJABU

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema

House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.
Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?
House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee……the pasuka paaaaaaaa
😂😂😂😂hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika

😂😂 😂 😂😂


V.gif Baada ya kumkuta mwanamme mwingine chumbani kwake na mke wake cheki huyu anachokifanya

NAKUA(BABA) karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
NAKUA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo….

NAKUA kaingia ndani kamkuta mkewe kalala kitandani kajifunika shuka gubigubi hadi kichwani. Kaenda kwenye kabati kufungua mlango , akamkuta rafiki yake wa miaka mingi yuko uchi ndani ya kabati
NAKUA: Aise unajua we fala sana, we rafiki yangu miaka yote hiyo halafu unamtisha mwanangu eti wewe jini, hebu toka huko nenda kwenu kacheze michezo hiyo na mwanao.

😂😂 😂 😂😂


V.gif Muda ambao unaweza kumzoea dingi

Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE….

Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea….

😂😂😂😂😂😂😂

😂😂 😂 😂😂


Mambo yanayoweza kukupata ukubwani kama ulivuka steji ukiwa mtoto

mtu-mzima-na-gari.jpg

Kama ningekua ndege ningekifanya hiki

ningekua-ndege.jpg

Cheki sababu ya huyu jamaa kutokupenda mchezo wa mieleka

IMG-20160507-WA0001.jpg

Pale unapokua umeokoka tuu jana mara linakuja hili

pale-umeokoka.jpg

Huyu mama ni shida, japokua amemfumania housegirl na mume wake lakini hataki kumfukuza! soma

IMG-20160318-WA0006.jpg

Eti hili ni la kweli kuhusu mapenzi?

fb-3-600x450.jpg

.

page 1 of 36149123...3614836149next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Mcheki Chizi na daktariV.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

.

picha-kali.png
tafuta-rafiki.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.