SASA-MPYA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake

Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimu
akasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi ataondoka asiye jibu atabaki.

Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.
Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje?
Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango akaenda kwao.

neno moja kwa dogo

😂😂 😂 😂😂


V.gif Kauli 10 mbaya za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?

Kauli 10 MBAYA za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa??

1:Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha

2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule

3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe

4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako

5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale

6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu

7:Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote

8:Tunavisaidia tu kwan vikifanikiwa mbelen hata salam vinatoa?

9:Bichwa kubwa ubongo nukta

10:Wengine hapa wamekuja kukua tu

SHARE NA MARAFIKI ZAKO WAKUMBUKE ENZI ZA SHULE KIDOGO

😂😂 😂 😂😂


V.gif Huyu Maasai bwana! Cheki anavyojibu sasa

*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_
*Massai:* _safi rafiki_

*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_
*Massai:* _ulisa acha maneno yako._
*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_
*Massai:* _swala watatu na tembo saba_😆😆😆😆😆😆👆🏿

😂😂 😂 😂😂


Ulishawahi kuona viatu vinashonwa na compyuta? hawa jamaa bwana

IMG-20160406-WA0015.jpg

Huyu jamaa ataelewa? anafundishwa kuhusu upendo

IMG-20160124-WA0035.jpg

Nyoka wa aabu mwenye vichwa viwili

IMG-20160411-WA0009.jpg

La kweli hili kuhusu watu wanaokuuliza kuhusu familia yako?

sio-wote-wanaouliza-watoto-hawajambo.jpg

Simu za tachi ni shida! Cheki hawa wanachokifanya na beby wake

IMG-20151116-WA0029.jpg

Ulishawahi kuona pikipiki ya mbao? hii hapa sasa

IMG-20160312-WA0023.jpg

.

page 1 of 26801123...2680026801next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Staili nyingine za michepuko ni shidaV.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-TUKUTANE-MZAZI.JPG
ml.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.