PERUZI-KITUKO-KWA-MHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti

NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI
ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!

Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha
kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule
anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills…yeyote ni sawa sisi tutagharamia kila kitu mwanetu wee mlete tu .
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ changamkia fulsa umri ukifika

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Angalia nilichokifanya baada ya kuumwa na meno

Baada ya kuumwa na Meno nikaamua hivi.

mimi sipeñdagi ujinga,,,Nmeumwa na jino moja la chini..nimeng'oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu😑😑

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangi… kiberiti kikawaishia… wakamtuma mwenzao akatafute kingine… bangi lilikuwa limemkolea… akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweni…

MSHIKAJI: oyaaa wanangu eeeh… niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe …..

WENZAKE: baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumemtuma akatafute kiberiti.

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Huu wivu wa huyu baba umezidi sasa, angalia anachokifanya sasa

baba-noma.jpg

Cheki huyu mwanafunzi anachojibu, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

aina-za-misimu.jpg

Mara paaa! simba huyo, Ungekua wewe ndio huyu jamaa hapa ungefanyaje?

bahati-maya-mwituni-simba.jpg

Hii hapa raha ya kiswahili

IMG-20160228-WA0007.jpg

Hii ndio hatari ya kuwa na msichana aliyeacha shule

aliyeacha-shula.jpg

Wachawi walivyokamatwa wakiwa wanaenda kuwanga, wakiwa wamepanda nyungo kila mmoja na ungo wake

IMG-20160412-WA0000.jpg

.

page 1 of 38376123...3837538376next »

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

picha-kali.png
MPENZI-MLO-MWEMA-34NG.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.