ONA

Mpendwa Msomaji, baada ya kufurahia kichekesho kuhusu; Cheka na methali, sasa nimekukusanyia vichekesho vingi kwenye makala hii unayoisoma kuhusu;

ONA.

Endelea kefurahia vichekesho kila siku unapotembelea ukurasa huu. Ukitembelea ukurasa huu kila baada ya dakika moja utaweza kusoma vichekesho vipya. Kwa sasa kuna vichekesho 484 kwa ajili yako.

ONA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.
Diobeeni dipone
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapana Chezea
Bafua

😂😂 😂 😂😂


V.gif Tabia za wachepukaji

WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila
wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima
akwambie hebu
kwanza…….
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata
iweje….anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa
kwa majina ya
kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara
kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu
anafuta dial no
haraka.
11.Always yuko na simu…..hadi bafuni
ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu
simu….anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa
mara
kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture
na akikuweka
humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja
kabisa
Share na washikaji zako😜😜😜😜😜

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Wazazi wengine wanaandika MBWA​MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..

Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU

😂😂😂😂😂😂😆

😆😆😆😆😆😆😆

😂😂 😂 😂😂


Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Anachokisema mzee baada ya mtoto kumshitakia mama na anko

huyu-mzee-mtoto.jpg

Hii hapa raha ya kiswahili

IMG-20160228-WA0007.jpg

Huu mtihani ni balaa

IMG-20160227-WA0036.jpg

Wadada mnalijua hil? Angalia hili lisikupate wewe mdada

IMG-20160423-WA0014.jpg

KICHEKESHO: Angalia hawa watoto wanachoambiana

IMG-20161023-WA0054.jpg

Unaweza kusoma vichekesho vipya wakati wowote unapotembelea ukurasa huu kuhusu; ONA, kwenye ukurasa huu vichekesho vinabadilika kila baada ya dakika moja. Ukifunga ukurasa huu na kisha kuufungua tena baada ya dakika utaweza kuona vichekesho vipya.

Pia Unaweza kuendelea kusoma vichekesho hivi;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

Slide2-mabesti-utotoni.PNG
Slide1-mabest-skull.PNG