KITUKO-NA-WAHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"

😂😂 😂 😂😂


V.gif Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii

Ni noma!

Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

😂😂 😂 😂😂


V.gif Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta

Walevi hatupendagi ujinga kabisa… Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko. Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:

MUME: Fungua mlango!

MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.

MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.

MKE. Kufa huna faida yoyote duniani!

MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo chubwiiiiiii!

MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.

MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje.

MUME: Piga kelele na wakija uwambie unakotoka usiku huu na khanga moja.

😂😂 😂 😂😂


Haya majibu ya huyu mwanaume ni shida, angalia huyu alichomjibu huyu dada baada ya kuombwa lunch

IMG-20160404-WA0037.jpg

Hivi wanaume wanakwama wapi katika hili?

wanaume-nakwama-wapi.jpg

Wadada mnalijua hil? Angalia hili lisikupate wewe mdada

IMG-20160423-WA0014.jpg

Eti hawa nao wanafungaga

usiogope-tumefunga.jpg

Ipi ilikua simu yako ya kwanza hapa?

IMG-20160321-WA0046.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

.

page 1 of 27005123...2700427005next »

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG
Slide1-mabest-skull.PNG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.