KITUKO-NA-MHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?

Dogo: Bro naomba nitumie hela.

Bro: Tumia tu mpaka uchoke.

Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.

Bro: We ndo hunielewi, nimesema tumia tu…!!!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Alichokifanya nyani aliyekuwa anataka kujiua

Akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe,
Akamtia kidole nyuma mpaka simba akaamka:-

SIMBA: Ni nani huyo?
NYANI: Ni mimi nyani kwani vp!?.

SIMBA: Kuna yeyote alieona ukinifanyia hivi?
NYAN: Hapana.

SIMBA: Basi fanya tena.
NYANI: Duhh!!.. Dunia imeisha hadi simba ***…!!!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Cheki nilichomfanyia boss wangu

Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..

Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah…!!
sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!!
Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna barua yangu..
Nahisi hyo barua ina pesa, hapa cjalala, nmekosa usingizi kabisa,nawaza ninunulie nn hyo pesa.Na kesho asubuhi sa 12 asubuhi atanikuta ofisini kwake naisubiri barua, sipendagi ujinga mimi.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Madhara ya kulala na kuota ndo haya

IMG-20160318-WA0012.jpg

Uharamia ndio unaanzia kama huku

ubabe-utoton.jpg

Sababu ya madogo wa siku hizi kufeli sana

IMG-20160313-WA0005.jpg

Kilichompata mshikaji wangu baada ya kuchora tatoo ya mpenzi wake

tatoo-ya-mwanamke.jpg

Muangalie anachokisema huyu mwanamke, Hii ni kweli?

IMG-20160422-WA0010.jpg

House girl atapaa kama malaika, huyu mama ni shida

IMG-20160323-WA0006.jpg

.

page 1 of 28672123...2867128672next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyuV.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

Slide2-mabesti-utotoni.PNG
UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG

USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Kijitabu cha Kilimo Bora cha Hoho

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.