JIONEE-WAHENGA-KWA-VITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu

Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja kunitaarifu kuhusu kupotea kwa hela yangu, njiani akaokota elfu 1 ambayo kuna mtu alipoteza ndio akaamua kununua askrimu….kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamake😀😀😀😀😀😀😀

😂😂 😂 😂😂


V.gif Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe

Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala

jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)

Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka.

😂😂 😂 😂😂


V.gif Jinsi Baba na mtoto wanavyoweza kuwaziana

Duh! Maisha

Ile time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATA

Ni shetani tu anajaribu kucheza na akili zenu
😂😂😂😂

😂😂 😂 😂😂


Cheki huyu mwanafunzi anachojibu, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

aina-za-misimu.jpg

Angalia anachoambiwa huyu mwanamke na mume wake baada ya kuolewa

IMG-20160508-WA0000.jpg

Huyu ndiyo fundi wa admini

fundi-mtoto.jpg

Ipi ilikua simu yako ya kwanza hapa?

IMG-20160321-WA0046.jpg

Huyu jamaa ataelewa? anafundishwa kuhusu upendo

IMG-20160124-WA0035.jpg

Pale unapokua umeokoka tuu jana mara linakuja hili

pale-umeokoka.jpg

.

page 1 of 28291123...2829028291next »

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.