JIONEE-WAHENGA-KWA-KITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!

Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!!

Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN"

Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia 'NIPENDE ATA NA KIDNEY'๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜™๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜—๐Ÿ˜ƒ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Askari na yeye kumbe muoga, cheki anachomjibu afande

Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta
ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza vibaya sanaa

AFANDE: Kha! kisa mkasa mpk akafanya hivyo
ASKARI: Mama mwenye nyumba alikua anapiga deki mumewe akaingia ndani viatu kabla sakafu haijakauka
AFANDE: Sasa mmesha mkamata huyo mwanamke
ASKARI: Bado mkuu
AFANDE: Kha! sasa mnangoja nini
ASKARI: Si tunangoja sakafu ikauke

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


V.gif Duh. mjamzito ana kazi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Jambo la kufanya kama una sura mbaya

sura-mbaya.jpg

Wanaume wa Dar ni shida, duh majanga! wacheki hapa

IMG-20160225-WA0009.jpg

Angalia sababu ya dogo kumuandika mwalimu mpiga kelele darasani

kitito.jpg

Hivi wanaume wanakwama wapi katika hili?

wanaume-nakwama-wapi.jpg

Angalia nilichomjibu huyu mtu baada ya kutaka kujua group lake la damu

aende-settings.jpg

Hii ndio maana ya kunenepa wakati unadaiwa

ukinenepa-ni-dharau.jpg

.

page 1 of 38620123...3861938620next »

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Ukimchukua mme wa mtu wewe ni....V.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

picha-kali.png
UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG
picha-kali.png

USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Jiunge na Kampeni ya usafi Binafsi

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.