Leo nimekuandalia vichekesho vifuatavyo bomba vya kufurahisha
Vilevile, ninakuhakikishia kuwa kila unapotembelea ukurasa huu utaweza kusoma vichekesho vingi vipya kila dakika unayotembelea. Kila unapokuwa na hamu ya kucheka, hapa ndipo pa kuja. Kila siku utacheka weeeπππ mpaka uinue miguu juu
Ni wewe tuu…!πππ
Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/-
Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.ππππ
Toa maoni kuhusu, Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Angalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa
Looku Looku* ππ
*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii….!!*
*Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.*
*_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE._*
*Mwalimu alisonya na kuondoka.*πππππ
*Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa*ππ
π ππ½ππ½ *Mniache Tuu Mimi Sio Kwa Bifu Ilo Aiseee*ππΎ
Toa maoni kuhusu, Angalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa
Angalia uhuni wa huyu dereva
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,"nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa ningefanya nin?" Trafki akamwmbia, kwanin ucngeenda upande ambao una watu wachache ili uokoe wengi? Jamaa akajibu, "nilifanya hivo, huku kushoto alikua m1 na kulia walkua wa4, nikamfuata uyu wa kushoto et akakambilia upande wakulia akazani cjamwona, nikamfata huko huko alipoenda, nikampa kitu mbwa yule"
Toa maoni kuhusu, Angalia uhuni wa huyu dereva
Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa.
MKE; Ilikuaje wewe ukapona?
MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia.
MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje?
MUME; Watalipwa million 100 kila mfiwa.
MKE; KWA HASIRA, Ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela.. Ungeenda kunya akhera.
Toa maoni kuhusu, Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake
Cheki kilichompata huyu dada!!
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,
Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!πππ
Mchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako!
Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri! watu hoiiii!!
hata mimi hoi…πππππππ
Toa maoni kuhusu, Cheki kilichompata huyu dada!!
Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida
*Pale unapokuwa umefulia sana…Mgeni anakutembelea Maskani kwako….Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni……Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite …..Bwana….Bwana. …Bwana….Weee* ππππππππ
Toa maoni kuhusu, Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida
Jambo usilolijua kuhusu mwili wako
JE WAJUA!…..
Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Nakuona unavojaribu kubana jicho …..
UTAKUJA KUNYA BUREEEE, hutaniwiii?!
ππππππππππππ
Toa maoni kuhusu, Jambo usilolijua kuhusu mwili wako
Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako? Mchaga akajibu Yesuu! hivi inawezekana? bac fanya hivyo tuwauzie na wengine hiyo ringtone. ππ
Toa maoni kuhusu, Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Unakumbuka haya enzi za shule?
Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na haya…
1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani
2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio
3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumban
4.MTU akikukera unamfungia shule (mnapigana baada ya kufunga shule)
5.MTU akikunyima kitu chake unamwambia "Ahaa eeh utaona sa nne"
6.wadada wembamba ndo wanaongoza kwa kusuta wenzao
7.ukiibiwa daftar jipya unalia kuliko hata uliloandika
8.unajaza mapeni kwenye mkebe(compass) na mengine hayaandiki
9.vifaa vingine kwenye mkebe hujawahi hata kuvitumia mfano bikari labda utolee mwibaπ
10.hakuna habari nzur kama kuambiwa Leo hamna shule mwalim haupo
11.habari mbaya zaidi n kurud nyumban kutoka shule una njaa af unaambiwa chakula mgeni kaja tumempa
12.mtoto wa mwalim utamgundua tu kwanzia sweta begi na viatu vyake
13.usiombee umpige mtoto wa mwalim utataman uache shule
14.unatengeneza kifutio cha ndala af unatishia eti kinafuta hadi peniπ
15.ukaguzi na huna ufagio.. unaomba chelewa kwa watu af unaongeza kijiti katikati
16.siku ukienda na ufagio wanakagua maji, ukienda na naji wanakagua kuni au mboleaπ
π
Dah shule zetu hizi kiboko!!
Ipi umeipitia wewe
Share na wengine
Toa maoni kuhusu, Unakumbuka haya enzi za shule?
Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi
Toa maoni kuhusu, Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Sababu ya jamaa kujiita fara ugenini
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,jamaa akapigwa bumbuwazi almanusra ajimwagie chai.
BINTI:"Naitwa BEBI,we unaitwa nani?"
Jamaa akasema mimi naitwa Fara…..!
Toa maoni kuhusu, Sababu ya jamaa kujiita fara ugenini
Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake
1. Ticha:"Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamilia….Je sungura anayeishi mwituni anaitwaje?"
ZUZU:"Sunguramilia."
2.Ticha:"Rais wa kwanza wa kenya aliitwa KENYATTA…Je rais wa kwanza wa
Tanzania aliitwaje?"
ZUZU:"TANZANIATTA."
3. Ticha:"Kuku yuko katika jamii ya NDEGE…Je samaki yuko katika jamii ya nini?"
ZUZU:"MELI."
4. Ticha:"Coach wa Arsenal anaitwa ARSENE,wa Man-city anaitwa MANCINI….Je wa
Liverpool anaitwaje?
ZUZU:"LIVER."
5 Ticha:"Ukiwa na mbuzi 10,wezi waje waibe 5,utabaki na nini?"
ZUZU:"Hasira nyingi sana!"
Toa maoni kuhusu, Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake
Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo
Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"
Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtt wa kiume , "niaje mrembo", akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu"
Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza ππππππππππππππππ
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale paleπΆπΏπΆπΏπΆπΏ
Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu… πππππ
Toa maoni kuhusu, Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo
Acha usumbufu…
UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJA
*HIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKU*
πππππππ
*Acha Usumbufu…..*
Toa maoni kuhusu, Acha usumbufu...
Mtoto ni wa baba au wa mama? Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake
Mtoto ni wa baba au wa mama?
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto.
MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwangu?
MKE: Akasimama na kusema: Mheshimiwa hakimu hivi ukimwaga mbegu ktk shamba la mtu mti ukiota utakuwa wa kwako au wa mwenye shamba?.
Hebu tumsaidie hakimu aamue kesi hii…
Toa maoni kuhusu, Mtoto ni wa baba au wa mama? Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake
Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari
Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!
Toa maoni kuhusu, Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..
yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja
Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee
Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..
ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..
yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..
Umewahi kufeel hivyo??
Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
#ishakua_biashara_kichaa
Toa maoni kuhusu, Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??
Huyu Jamaa kawaeeza polisi kweli
Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma barua
Ikisema yan.mwanangu tumapata shida maana shamba halijalimwa na jatujii litalimwaje na msimu ndio huo nataman.ungekuwepo ningepata msaada wa kulimiwa hili shamba
Yule kijana alijibu tafadhal baba usilime hilo shamba maana pesa zote nilizo ibwa nimeficha.huko
Kwakuwa barua zote laxima zipite kwa mkuu wa gereza ndio xiende kwa muhusika kesho yake mzee alikuwa shamba lote limelimwaa na polisi
Akatuma ujumbe tena yule kijana
Nashukulu umepata msaada sasa nazan unaweza ukaendelea kupanda mazao shamban.kwetuπππππ
Toa maoni kuhusu, Huyu Jamaa kawaeeza polisi kweli
Hii sasa ni kali
*Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi*πππππ
Toa maoni kuhusu, Hii sasa ni kali
Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya
Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake alimuona mtanashati na mdada mmoja mrembo anakuja ofisini kwake akajua ni mteja anamletea kesi.
Ndipo akanyanyua mkoni wa wa simu ya TTCL na kuanza kuongea huku anajizunguusha kwenye kiti cha kuzunguuka.
Wakati mdada alipokaribia Rwegashora alimkaribisha kwa ishara maana alijifanya yupo busy na kuongea na simu ya umuhimu.
Wakati anaongea na simu akisikika akisema No, No, No….. Absolutely No. Wajuulishe hao lay person wa New York kua siwezi kushuhulika na kesi ambayo itanilipa chini ya 50 million. Mimi ni profesional lawyer and im crossing the border to sarve international community.
Aka pose kidogo na akanywa maji kisha akaendelea…..
Naweza kuanza kukusanya primary evidence next weak but tell them watume kwanza ten million kwa kuanza…
Hahahahaha you dont know my Account
Mr Roger. Ok waambie watume kwenye Account ileile walionitumia million 100 last month…
Aka pose tena akameza fundo la maji na kurekebisha tai yake kisha akaendelea… Ok usisahau kumueleza muendesha mashtaka mkuu wa marekani kua nitakuja New York mwezi ujao maana nitapita kwanza Amsterdam kuwasilisha utetezi wa yule mteja wangu mholanzi kisha nitaenda Tokyo kulipia ile gari yangu niloagiza.
Wakati anaongea hayo yote yule mdada alikua ametulia na anamuangalia Bwana Rwegashora anavyojizunguusha kwenye
kiti chake huku akiongea kwa tambo kwenye ile simu ya TTCL.
Baada ya kumaliza kuongea na simu Bwana Rwegashora aliweka mkono wa simu yake ya TTCL chini kisha akamgeukia mdada mrembo.
Samahan sana kwa kukupotezea muda wako unajua tena kazi zetu zinaumiza kichwa sana kama unavyoona mwenyewe yaani niko busy sana ninapokea simu sana mpaka nimechoka na simu nyingi ni za wateja wa njee ya nchi.
Anyway nikusaidie nn? Mdada akajibu mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya TTCL nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani tangu wiki iliyopita…!!!
Unadhani Bwana Rwegashora alifanyaje…???
Toa maoni kuhusu, Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya
Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa.
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.
Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika
mwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugundua
hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)
Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati
mume18 mke 16.Huvunjika baada ya miaka 3 au
4 ya ndoa.
4. NDOA YA MAONYESHO
Wenye ndoa Hii hupenda kujionyesha
barabarani.Ila ndani hazina utii.Hupigana kila
wanaporudi kutoka kwenye mizunguko. Cha
kushangaza huwa hazivunjiki lakini ndiyo ndoa
zinazoongoza kwa kuchepuka!
5. NDOA YA UHAMISHO.
Hufungwa na watumishi wa vijijini na mjini. Ili wa
kijijini ahamie mjini.Mahari utoa anaetaka
kuhamia mjini. Hata kama mahari atatoa mume
lakini hii ndiyo ndoa yenye ukakasi
zaidi.Huvunjika mara tu wanapoanza kuishi wote
mjini. Salama ya hii ndoa ni kuhama kutoka mjini
kwenda kijijini.
6. NDOA YA MIMBA.
Hufungwa kwa sababu wanaoowana hawataki
kuonekana makwao kuwa wamezaa nje. Au
muolewaji alikuwa hampendi muoaji kwa
dhati.Muoaji hutumia mimba kama mtego wa
kuingia ndoani. Hii huvunjika mtoto akizaliwa na
kufikisha mwaka 1.
7. NDOA YA MALI (UTAJIRI)
Muolewaji miaka 18 au 28 Muoaji 65 au 70.Ndoa
hii pia huitwa ndoa ya babu na mjuukuu. Ndoa ya
aina hii hudumu, kwasababu mwenye kauli ni
mwenye mali. Asilimia kubwa ya waume wa ndoa
hizi hulea watoto wasio wao.
8. NDOA YA KWASABABU.
Hufungwa ili mradi muoaji au muolewaji
aonekane tu kwa jamii kuwa naye kaoa au
kaolewa.Huwa hazina utii wala upendo dhati.
Ndoa ya aina hii ikifikisha miaka 4 huwa
hazivunjiki wahusika huishi kwa mazoea.
9. NDOA YA UPENDO.
Ndoa hizi ziliishia mwaka 1978 kabla ya vita vya
kagera.Muoaji na muolewaji hawakuangalia vitu
ila utu tu ambao uliwaunganisha na kutengeneza
upendo wa kudumu. Hii ilidumu miaka yote.
10. NDOA KUCHUMA
Ndoa hii ufungwa ili mradi muoaji au muolewaji
akapate kitu au vitu fulani kutoka kwa upande
mmoja wapo. Hii hudumu miaka kadhaa
kutegemea na malengo ya mhusika. Wengine
husubiri mpaka mhusika afe,lkn hujikuta
wanakufa wao kwanza.
Kuwa mwangalifu!
Toa maoni kuhusu, Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua
Huyu mwanamke ni noma cheki alichomwambia mme wake baada ya kumnunulia nguo za ndani
Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia mke wake chupi dazeni moja zote za rangi nyeusi, akaenda kumzawadia. Mpenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote ni nyeusi si akaropoka.
MY HONEY: Sasa umeninunulia chupi zote nyeusi, sasa watu si watadhani nina chupi moja tu sibadili,
Jamaa alifura akawa kama mbogo na hapo ndipo zogo kuu lilipoanza
MUME:Watu gani hao watakaokuambia unachupi moje, inamaana unawaonyesha kitumbua changu? Leo utanambia'
Ungekuwa wewe ungefanya nini?
Toa maoni kuhusu, Huyu mwanamke ni noma cheki alichomwambia mme wake baada ya kumnunulia nguo za ndani
Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno
Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????ππππ
Toa maoni kuhusu, Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno
Duh, hii sasa kazi
Wakati unafikiria dingi yako afe ili urithi nyumba, dingi nae anafikiria uanze kufa ili apangishe chumba unacholala.. hiyo inaitwa kufa kufaana.. πππππππππ #Hatutaki ujinga
Toa maoni kuhusu, Duh, hii sasa kazi
Huu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI
jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " *kiazi wangu mbatata*"hiyo itakuwa vita ya tatu ya duniaππ
Toa maoni kuhusu, Huu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi
Jamaa amkomesha boss wake
Kuna jamaa alifutwa kazi… Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…
boss: _mbona waja kunya kwangu?_
jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_
πππππππππππππππππ
Toa maoni kuhusu, Jamaa amkomesha boss wake
Machizi ni noma | Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani
Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi.
Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
da!balaaa
Toa maoni kuhusu, Machizi ni noma | Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani
MAWAZO YA PAPITO AKISHAPGA VTU VYAKE
Mei mosi sikukuu ya *wafanyakaz*
sabasaba sikukuu ya *wafanyabiashara*
Nanenane sikukuu ya *wakulima*
EBU NA NYIE KOMAENI CHUKUENI
ata…….
Tisatisa au kumikumi iwe sikukuu ya *wanafunzi*
Toa maoni kuhusu, MAWAZO YA PAPITO AKISHAPGA VTU VYAKE
Huyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!
CHEKA KIDOGO
Majambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiria
Baada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasema kila m2 atapigwa viboko (bakora) kutokana na namba ya shati alilovaa
Aliyekua hana namba atasalimika
Kaz ikaanza, jamaa alievaa jez ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwengine alievaa nguo ya 50cent akapigwa 50, n.k, sasa kwa pemben kulikua na jamaa analia sn yaani kila akijiangalia, kumbe alikua amevaa fulana limeandikwa LOWASA 2015 duuuh! Unajua kilichotokea ngoja niweke cm chaji kwanza.
Toa maoni kuhusu, Huyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!
Cheki huyu dingi alivyo mnoko
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.
Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
Toa maoni kuhusu, Cheki huyu dingi alivyo mnoko
Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!!πππ
Toa maoni kuhusu, Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA
MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA:
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;
2. Huwezi kuhesabu Nywele zako;
3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;
4. Unajaribu kufanya namba 3
6. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama Jibwa;
7. Unatabasamu kwa kuwa umejiona Mjinga!
8. Umeruka namba 5;
9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.
10. Unacheka kwa kuwa nimekubamba!
Toa maoni kuhusu, MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA
Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
MKAKA: Samahani sana….jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simu….aise saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifwate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu ntafutie mtoto mzuri nimumwagie midola niliyokuja nayo, ok ciao tuonane badae.
MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saa…..
MKAKA: Achana na mimi wewe
Ha ha ha ha haaaaa!!
Toa maoni kuhusu, Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini
Kilichotokea Leo mahakamani
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..
Order! Order…
Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu …
Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..
i think wananiandalia chapati
πππππππππ
Toa maoni kuhusu, Kilichotokea Leo mahakamani
Cheki huyu kiherehere alivyojibiwa
Za asubuhi?
Nzur sjui huko?
Huku kwema tuu
VP si ulimaliza chuo ww?
Ndio kwani vp?
Mbona hatuoni matunda yake?
Kwani mi nlienda na miche ya mipapai au miembe au umeambiwa TIA, IFM na IAA wanakodisha Mashamba ya nyanya ????????
Hamna sio hvyo umeenda mbali kaka
Kama kilomita ngapi?
Haya yaishe bhana…
Ukome kwa kiherehere
Nitukane tuu unakumbuka kuna SKU nlkupa buku ya nauli?
Nitajie namba yako ya tgo pesa nkuwekee hyo buku
Kwani mi nimesema unilipe
Utajua mwenyewe ila nakutumia kwenye namba uliyonitext wee si umefanya ujinga mi nafanya upumbavu
Simple lyke dat Viherehere huwa tunawajbu HVO……ππππππππππππππππππππππππππ
Toa maoni kuhusu, Cheki huyu kiherehere alivyojibiwa
Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE
π π π π π
Toa maoni kuhusu, Kuwa na Binti aliyeacha shule
Hii dunia kweli haina haki, soma hii
ππΎthe world is not fair
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi ngapi..,,?
Hapo ndo utatambua kwann kinyesi hakina mwiba ila ukikanyaga lazima uchechemee..πππππππππππ€
Toa maoni kuhusu, Hii dunia kweli haina haki, soma hii
Hapa itakuaje?
NAJISIKIA NIMEBOEKA…SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIO…..
πππππππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Toa maoni kuhusu, Hapa itakuaje?
Kilichotokea wakati mchungaji akifungisha ndoa ya Mashoga
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME"
atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Toa maoni kuhusu, Kilichotokea wakati mchungaji akifungisha ndoa ya Mashoga
Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Kwa Wale wadada mnaotaka kuolewa…Chagueni wanaume wenye PESA.infact, hakuna mwanaume MWAMINIFU..Lakin ni heri uyatoe MACHOZI mkiwa PARIS, lakin sio TANDALEππΈππΈ
Ni utan tuu!
Toa maoni kuhusu, Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa
mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahi
mimi; kwa nini?
mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguu
mimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zari…
πππ
*naona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua*
Toa maoni kuhusu, Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa
Jambo la kufanya kama binti alikuachaga zamani na sahizi anakutaka
π€π₯Kama Binti Akikuacha Eti
Kisa Huna Hela, Ila
Baadae Ukaja Kuzisaka
Mpaka Ukazipata Na Huyo
Binti Akarudi Kwako
Kukuomba Msamaha
Mrudiane..
π¬π¬Nakushaur Msamehe,
ππMwambie Nakupenda,
πππ½Mwambie Nataka Kukuoa,
ππ½π€¦π½ββMpe Ahadi Ya Ndoa,
ππMwambie Nataka
Nikufahamu Kwenu,
π¨πUkifika Mwambie Nataka
Nifanye Ukarabati Wa
Nyumba Ya Wazazi Wake
ππ½π‘Wakikubaliππ½
*ONDOA PAA LOTE LA NYUMBA YAO HALAF TOWEKA!!!!*
ππΎππΎππ€£πππππΎππΎ
ππHapo Atajua Kwann Idiamini Aliitwa Dada Japo Ni Mwanaume?!
Toa maoni kuhusu, Jambo la kufanya kama binti alikuachaga zamani na sahizi anakutaka
Huyu ndo mwanamke
HUYU NDO MWANAMKE
Akikuta PESA wakati anafua atapiga kimya kimya, sasa ngoja akute umeacha CONDOM ndo utajua kama umeoa KIPAZA SAUTI ππππππ
Ndio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamoja… akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. πππππππ
Huwa sipendagi ujinga Mimi
π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Toa maoni kuhusu, Huyu ndo mwanamke
Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
NIMEKAA NIKAWAZA ππΌ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVIππ» WAAFRIKA HATUYAJUI π
KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πΊπΈWACHINAπ―π΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWAπ½πͺ TUNAWAPITA KIMAENDELEO
MAMBO YENYEWE,,
HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA ππππ
Toa maoni kuhusu, Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
Angalia nilichomfanyia huyu mwizi
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu
akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid
na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae
maana hta hela ya kula Jana sikua
nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?
*sipendagi ujinga
Toa maoni kuhusu, Angalia nilichomfanyia huyu mwizi
Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI.
Toa maoni kuhusu, Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Hii michezo mingine imezidi sasa, Angalia mazoezi ya kunya, hapa mshindi ni nani?

Toa maoni kuhusu, Hii michezo mingine imezidi sasa, Angalia mazoezi ya kunya, hapa mshindi ni nani?
Picha kali ya Siku ya leo ni ya huyu Baba na mwana wakipoz
Kama Mtu na mwanae vile

Toa maoni kuhusu, Picha kali ya Siku ya leo ni ya huyu Baba na mwana wakipoz
Angalia anachojibu huyu babu. Wazee wengine bwana
*Babu*: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera
*Mjukuu*:Niambie babu
*Babu*:Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui wakatuambia chagueni kuuliwa au kubakwa.
*Mjukuu*:Sasa babu wewe ulichagua nn?
*Babu*:Niliuliwa!!!
Toa maoni kuhusu, Angalia anachojibu huyu babu. Wazee wengine bwana
Je hili ni kweli kuhusu mpenzi maskini na Tajiri?
Siku hizi kudekezwa na kupetiwa petiwa tunawaachia matajiri
Hakuna mwanamke yupo tayar kulalia kifua cha maskini ambacho moyo unadunda
Deni,, Deni,Deni, Deni .
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πΆπ½ββ
Toa maoni kuhusu, Je hili ni kweli kuhusu mpenzi maskini na Tajiri?
Huyu Maasai bwana! Cheki anavyojibu sasa
*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_
*Massai:* _safi rafiki_
*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_
*Massai:* _ulisa acha maneno yako._
*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_
*Massai:* _swala watatu na tembo saba_ππππππππΏ
Toa maoni kuhusu, Huyu Maasai bwana! Cheki anavyojibu sasa
[NZURI HIIπ] Jinsi ya kutafuta marafiki zako wale mliopotezana
ππππππ
List of Tags
β’ USIKOSE-HII. 14 Nov 2016 11:24, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). USIKOSE-HII
β’ PICHA AMBAZO HUTAKIWI KUZIKOSA, KUTOKA BONGO TANZANIA. 27 Jun 2016 04:48, (picha-za-kuchekesha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PICHA AMBAZO HUTAKIWI KUZIKOSA, KUTOKA BONGO TANZANIA
β’ Je, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?. 01 Mar 2015 00:07, (wiki: au baada baadhi chakula chakula? chakula. fikra gongo hata hivyo husaidia imani inaweza itasaidia je kawaida kiasi kidogo kimiminika kuchelewesha kuliko kupunguza kurahisisha kuvuta kuyeyusha kwa kwamba mafuta. mtiririko muhimu na ni pombe potofu sigara tagi: (tindikali) ukinywa uyeyushaji vya vyakula wa ya kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Je, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?
β’ TAZAMA. 26 Nov 2016 04:33, (picha-nzuri: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). TAZAMA
β’ MAFUNDISHO-YA-DINI-YA-WAKRISTU. 19 Aug 2017 22:59, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MAFUNDISHO-YA-DINI-YA-WAKRISTU
β’ Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku. 02 Oct 2017 08:40, (kilimonaufugaji: kuzuia_magonjwa_kuku kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
β’ VICHEKESHO-ORIGINAL. 18 Sep 2016 03:49, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VICHEKESHO-ORIGINAL
β’ Wanawake wavumilivu jamani. 27 Jul 2016 00:17, (mahusiano: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Wanawake wavumilivu jamani
β’ Duh! Hiki nacho chombo cha moto?. 03 Sep 2016 01:15, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Duh! Hiki nacho chombo cha moto?
β’ Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?. 01 Mar 2015 05:07, (wiki: ambavyo bidhaa cha chumvichumvi hatari hii hiyo. hizo huangalia huo. huongezwa huzipima inamaanisha kama katika kienyeji kihalali. kilevi kiwanda kiwandani kiwango kuliko kutengenezea kutokuwepo kwa kwamba madhara malighafi mara mbolea mchanganyiko na ni nini nyingi pombe ubora umethibitishwa usafi utaratibu vile vitu viwandani? viwango wa wake wataalamu ya yanatokana za zinafuata zinazotengenezwa zinazotumika kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?
β’ MESEJI-KALI-BOMBA-ZA-MAPENZI. 16 Feb 2018 12:30, (featured-sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MESEJI-KALI-BOMBA-ZA-MAPENZI
β’ VITUKO-VYA-IJUMAA. 05 Apr 2018 18:09, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VITUKO-VYA-IJUMAA
β’ Kwa michezo hii unatakiwa uwe mtaalamu kweli. 21 Jan 2017 13:03, (videos: vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Kwa michezo hii unatakiwa uwe mtaalamu kweli
β’ VIDEO-MIKASA. 23 Jan 2017 05:43, (videos-kali: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VIDEO-MIKASA
β’ MIDAHALO-YA-WAKATOLIKI. 21 Aug 2017 09:16, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MIDAHALO-YA-WAKATOLIKI
β’ Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled). 21 Sep 2017 05:57, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)
β’ USIPITE. 26 Nov 2016 04:49, (picha-nzuri: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). USIPITE
β’ Angalia uoga wa huyu jamaa unavyomponza, uoga mbaya. 01 Mar 2017 06:56, (videos: vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia uoga wa huyu jamaa unavyomponza, uoga mbaya
β’ Ujumbe muhimu wa Imani katoliki. 28 Sep 2017 01:36, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ujumbe muhimu wa Imani katoliki
β’ MAFUNZO-YA-DINI-YA-WAKATOLIKI. 22 Aug 2017 23:42, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MAFUNZO-YA-DINI-YA-WAKATOLIKI
β’ CHEKA-VICHEKESHO. 07 Nov 2016 12:33, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). CHEKA-VICHEKESHO
β’ Sababu za matumizi ya dawa za kulevya. 07 Mar 2015 20:12, (wiki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Sababu za matumizi ya dawa za kulevya
β’ SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy. 12 Mar 2016 02:38, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy
β’ VICHEKESHO-VYA-JUMANNE. 08 Apr 2018 13:18, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VICHEKESHO-VYA-JUMANNE
β’ VICHEKESHO-VYA-WAKAKA-NA-WADADA. 08 Apr 2018 13:08, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VICHEKESHO-VYA-WAKAKA-NA-WADADA
β’ MIDAHALO-YA-DINI-YA-WAKRISTU. 21 Aug 2017 09:13, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MIDAHALO-YA-DINI-YA-WAKRISTU
β’ KWANZA-CHEKA. 13 Nov 2016 17:49, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). KWANZA-CHEKA
β’ Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama. 05 Nov 2015 01:18, (mapishinalishe: 1 1/2 1/4 3 cha chai hiliki jinsi karafuu karoti kata katika kijicho kijiko kikombe kikubwa kupika mafuta magi maji manga mchele mdalasini na nyama pilipli refu roweka tagi: (ukipenda) unakata unga viambaupishi: vikubwa vitunguu wa wali ya zaafarani kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama
β’ Dondoo za leo za dini. 01 Sep 2017 23:48, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Dondoo za leo za dini
β’ VITUKO-VYA-XMASS. 05 Apr 2018 17:44, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VITUKO-VYA-XMASS
β’ Huyu jamaa alikua anaokoa yai moja kaishia kupasua yote, tatizo mawenge. 13 Feb 2017 04:00, (videos: vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Huyu jamaa alikua anaokoa yai moja kaishia kupasua yote, tatizo mawenge
β’ Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya. 05 Sep 2016 23:20, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
β’ Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu. 27 Oct 2017 15:42, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu
β’ Maswali ya msingi ya Kikristu. 08 Aug 2017 16:35, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Maswali ya msingi ya Kikristu
β’ Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga. 07 Jul 2017 17:25, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga
β’ VIHOJA-VYA-JUMAMOSI. 08 Apr 2018 14:07, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VIHOJA-VYA-JUMAMOSI
β’ MESEJI-ZA-KUCHEKESHA. 08 Jun 2016 15:07, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MESEJI-ZA-KUCHEKESHA
β’ Angalia huyu alivyokomaa. 03 Jan 2017 00:05, (videos: changamoto michezo kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia huyu alivyokomaa
β’ Videos za moto sana Whatsapp mwezi huu wote. 16 Feb 2017 13:46, (featured-videos: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Videos za moto sana Whatsapp mwezi huu wote
β’ Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar. 06 Oct 2015 22:51, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar
β’ Mtanange wa paka na nyoka, nani zaidi?. 07 Jan 2017 23:13, (videos: nyoka paka wanyama kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mtanange wa paka na nyoka, nani zaidi?
β’ Angalia huu mchezo wa kuruka mpaka raha. 31 Jan 2017 06:41, (videos: maajabu michezo kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia huu mchezo wa kuruka mpaka raha
β’ uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba. 02 Mar 2015 17:17, (wiki: afya aliyebakwa amekubali anaweza atamwona au baada dawa dharura inawezekana iwapo kama kubakwa kulazimishwa. kupata kwa mara mhudumu mimba mimba. msichana mwanamke mwathiriwa mwenyewe ni sawa uwezekano vile wa ya za kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba
β’ Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako. 26 Oct 2017 05:53, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako
β’ Mtuhumiwa kazua mpya mahakamani, angalia alivyomuweza hakimu na kushinda kesi. 06 Oct 2015 16:54, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mtuhumiwa kazua mpya mahakamani, angalia alivyomuweza hakimu na kushinda kesi
β’ Jinsi ya kupika Eggchop. 21 Sep 2017 11:24, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kupika Eggchop
β’ VITUKO-VYA-ASUBUHI-HII. 05 Apr 2018 17:41, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VITUKO-VYA-ASUBUHI-HII
β’ SMS-NZURI-BOMBA-ZA-MAPENZI. 16 Feb 2018 11:57, (featured-sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). SMS-NZURI-BOMBA-ZA-MAPENZI
β’ Mapishi ya Biriani. 21 Sep 2017 09:52, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mapishi ya Biriani
β’ CHEKA-WAHENGA-KWA-VITUKO. 19 Aug 2017 13:53, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). CHEKA-WAHENGA-KWA-VITUKO
β’ Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa. 14 Jan 2016 05:17, (vichekesho: hapa haya kumkalisha maujanja mwanamme nyumbani wako weekend ya kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa
β’ MAFUNDISHO-YA-DINI-YA-KIKRISTO. 19 Aug 2017 22:58, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MAFUNDISHO-YA-DINI-YA-KIKRISTO
β’ Ujumbe wa kweli wa dini Katoliki. 28 Sep 2017 01:21, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ujumbe wa kweli wa dini Katoliki
β’ Hizi ndizo picha kali za kuchekesha mwaka huu mpya. 19 Mar 2015 09:48, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Hizi ndizo picha kali za kuchekesha mwaka huu mpya
β’ Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku. 02 Oct 2017 08:40, (kilimonaufugaji: kuzuia_magonjwa_kuku kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
β’ SMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo. 22 Dec 2017 17:19, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). SMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo
β’ Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?. 12 Jan 2016 19:28, (vichekesho: demu flani hapa kamwona kishua" "maeneo mkali -mshikaji nani tagi: ya kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?
β’ Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa. 25 Oct 2016 03:36, (mahusiano: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa
β’ Tofauti ya wageni wa zamani na wageni wa sasa. 13 Dec 2018 05:09, (picha-bomba: picha-kali picha-za-ackyshine picha-za-kuchekesha vichekesho vunja-mbavu kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Tofauti ya wageni wa zamani na wageni wa sasa
β’ Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?. 01 Mar 2015 05:06, (wiki: au bangi basi dawa hadi hairuhususiwi halali halali. hamsini hata hatua hivyo ilichukua iliyomo iliyopita imekubalika ina inaeleza iwapo jamii kama katika kisheria kuanza kukubalika. kunaruhusiwa? kuotesha kupanda kutokana kuvuta kuwatahadhadharisha kuwazuia kwa kwamba kwenye lakini madhara miaka mrefu muda mwingine na ndipo ni nikotini nini sasa serikali sheria si sigara sigara. tanzania tanzania. tumbaku upande vijana wavutaji ya yalipoanza yatakanayo zilizo zisizo kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?
β’ Ukimchukua mme wa mtu wewe ni….. 05 Aug 2016 23:34, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ukimchukua mme wa mtu wewe ni....
β’ USIPITWE VICHEKESHO HIVI KWA LEO. 27 Jun 2016 15:02, (vichekesho-classic: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). USIPITWE VICHEKESHO HIVI KWA LEO
β’ Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli. 19 Mar 2018 07:00, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli
β’ Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu. 22 Sep 2017 06:45, (mapishinalishe: tibu-shinikizo-chini kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu
β’ VICHEKESHO-VYA-ALHAMISI. 05 Apr 2018 16:56, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VICHEKESHO-VYA-ALHAMISI
β’ Mapishi ya Tambi za sukari. 21 Sep 2017 07:58, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mapishi ya Tambi za sukari
Featured
π MAFUNZO-YA-WAKRISTO
π HAPA-LAZIMA-UCHEKE
π USIKOSE
π Amazing-gags-forever
π VUTIWA
π DONDOO-ZA-KIKRISTO
π VIDEOS-FUPI-KALI
π VISA-VYA-WIKIENDI
π Latest-Friday-tales