HII

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Huyu Jamaa ubahili umezidi kwa hiki anachomwambia huyu dada

Kama ni ubahili hapa umezidi

mdada Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyoka

JAmaa embu mpe huyo nyoka cm niongee nae.. maisha yanakaba..πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Huyu mwanafunzi kweli kiboko

``Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....` **`Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`* `John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......` πŸ˜‚πŸ˜‚,πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Upendo wa kweli ni nini?

*Upendo wa kweli ni nini?*
*πŸ‘‰Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani*

*Kifo ni nini?*
*πŸ‘‰Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.*

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Angalia make-up zinavyoweza zikaleta utata

matatizo-ya-make-up.jpg

Huyu nyani ka mtu vile

nyani-akisoma-gazeti.jpg

Angalia nilivyolikoroga kwa baba mwenye nyumba

vyombo-nje.jpg

Cheki huyu! Kweli mwanzo mgumu

IMG-20150414-WA0001.jpg

Jambo la muhimu kufanya mwaname anapokwambia anakupenda

cha-kuuliza-unapoambiwa-unapendwa.jpg

Ni shida!

IMG-20160302-WA0005.jpg

.

page 1 of 38476123...3847538476next »

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
utotoni.gif
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.