HAPA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kaz

Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuu…..
Interviewer: where were u born?
Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?
Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Cpendagi ujinga mim

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Jihadhari na wachapaji wa kadi za harusi, cheki kilichompata huyu

*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!

Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.

1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu…"

Lakini Yohana 4:18 tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako."

πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚_MKE MTARAJIWA AKAZIMIA HAPA, TUNAMPEPEA_

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Eti ni kweli hii ni sababu wanaume wana Upendo Sana?

Wanaume wana upendo kwa kweli.

Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*
Kwa namna hii wanaume wana Upendo Sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Cheki ndama wa kidigitali

IMG-20160407-WA0030.jpg

Huu uchizi

IMG-20160321-WA0042.jpg

Je, huyu kweli alitaka kujiua? picha

IMG-20160408-WA0055.jpg

Angalia huyu jamaa alivyo na mdomo mkubwa, Anaweza kumeza mtu

domo.jpg

Cheki huyu! Kweli mwanzo mgumu

IMG-20150414-WA0001.jpg

Omba lisikukute hiki kwenye daladala

wizi-wa-daladala.jpg

.

page 1 of 38376123...3837538376next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Wanawake hii nayo ni romantic ?πŸ’žV.gif
vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
Slide3-mabestimliopotezana.PNG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.