ENJOY-WAHENGA-KWA-VITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu

Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila langu
Bac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje
Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga wenyewe
😂😂😂😂😂😂😂
Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake

Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:

SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…

Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.

Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:

BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au…?

SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili

😂😂 😂 😂😂


V.gif Aina mojawapo ya watoto ambao ni hasara kuwa nao

Alipelekwa Hospitali na baba yake, baada ya vipimo Doctor akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na cm.

Mtoto akamwinamia Doctor na kusema kwa sauti ya chini:- "Doctor Kwenye dozi ya dawa niandikie na FANTA BARIDII, CHIPS na MISHIKAKI kutwa mara 2 kwa siku 30.

😂😂 😂 😂😂


Angalia hawa majamaa wamelishwa nyama ya punda

kula-punda.jpg

Anachojibu mwanafunzi mchelewaji, ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje

huyu-mtoto-kiboko-punguza-mwendo.jpg

Huyu ndiyo fundi wa admini

fundi-mtoto.jpg

Hah! Eti huyu ni mume au umeme?

MUME-AU-UMEME.jpg

Bangi mbaya sana, cheki huyu jamaa anahokifanya sasa

boda-boda-na-mteja.jpg

Kama ningekua ndege ningekifanya hiki

ningekua-ndege.jpg

.

page 1 of 30949123...3094830949next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Hii ndiyo bongo sasa!!V.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

mtu.gif
KADI-SALAMU-MCHANA-JION.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.