ENJOY-VITUKO-MHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia huyu daktari anachokifanya, Udocta noma!!

Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason.
Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!"
Jason: "Ndio mkuu!"
Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason..
Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol"

Dokta: "Safi sana na wapili?"
Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl"
Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je?
Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume!
Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?"
Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"

😂😂 😂 😂😂


V.gif Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii

Ni noma!

Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia alichokifanya huyu sharobaro kanisani

Huu usharobaro mwingine uchizi. Jamaa kamzimia demu kanisani,

mara ukafika mda wa kutoa sadaka, eti jamaa akamwambia ''dont worry bby'' ntakulipia!!

😂😂 😂 😂😂


Uharamia ndio unaanzia kama huku

ubabe-utoton.jpg

Hapo sasa! Daraja jipya la kigamboni lawa kivutio cha utalii wa bure

IMG-20160423-WA0037.jpg

Wadada mnalijua hil? Angalia hili lisikupate wewe mdada

IMG-20160423-WA0014.jpg

Cheki huyu dogo alivyo sharo

1621707_462419413884672_437076927_n.jpg

Madhara ya mtoto kulelewa bila baba ndo haya

IMG-20160406-WA0003.jpg

Huu wivu wa huyu baba umezidi sasa, angalia anachokifanya sasa

baba-noma.jpg

.

page 1 of 28291123...2829028291next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Kichekesho cha babuV.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

SALAMU-ASUBUHI-987HGZ.JPG
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.