ENJOY-VITUKO-KWA-WAHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete

Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu, soni ikamuingia huku akigeuka haraka kuangalia kama kuna yeyote dukani pale ameliskia shuzi lake, macho yakagongana na mwenye duka ambaye alikuwa karibu huku uso ukiwa umejaa tabasamu zito, mwana mama hakuwa na uhakika kama amesikika au hakusikika, akaona atumie nafasi ile kuyeyusha…Akauliza "Hii pete bei gani?" . Jamaa mwenye duka, huku akiangua kicheko, akajibu "Umeiona tu umejamba, je nikikuambia bei yake si utakunya kabisa?"

😂😂 😂 😂😂


V.gif Duh! Kizungu kigumu, cheki alichojibu huyu

```Nimetoka interview hapa ya job flani

Wameniuliza "so how far did you go with your education?", nikawaambia.. """""I didn't go very far because our school was just behind our house"""

wameniambia ningojee watanipigia!```…….

😀 *your prayers plz*

😂😂 😂 😂😂


V.gif Simu ilivyozua utata

Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja unaempigia hapatikan kwa sasa…..

😂😂 😂 😂😂


Wafungwa wengine wahuni, cheki walichomfanyia huyu afande

wafungwa-wahuni.jpg

MAAJABU: Jogoo mwenye sura ya mbwa

1606872_1385792035041219_1821223820863020508_a.jpg

Huyu jamaa kweli kavurugwa, cheki alichomfanyia huyu bodaboda

boda-boda-noma.jpg

Huyu jnamaa kwa kuzuga kazidi! Angalia anachojibu

IMG-20160424-WA0001.jpg

Hii ndiyo wanayosema, mzee hazeeki maini

mzee-pita-mbaele.jpg

Haya mahusiano yalivyoishia ni maajabu

IMG-20160406-WA0009.jpg

.

page 1 of 33374123...3337333374next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!V.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-SALAMU-JIONI-MZAZI.JPG
KADI-MZAZI-ASUBUHI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.