ENJOY-MHENGA-VITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Huu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi

HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI

jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " *kiazi wangu mbatata*"hiyo itakuwa vita ya tatu ya dunia😁😁

😂😂 😂 😂😂


V.gif Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangi… kiberiti kikawaishia… wakamtuma mwenzao akatafute kingine… bangi lilikuwa limemkolea… akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweni…

MSHIKAJI: oyaaa wanangu eeeh… niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe …..

WENZAKE: baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumemtuma akatafute kiberiti.

😂😂 😂 😂😂


V.gif Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu

Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.
Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizo
Akasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa…
😂😂

😂😂 😂 😂😂


Angalia huyu bodaboda anachomuwazia huyu abiria wake na abiria wake anachomuwazia bodaboda

bodaboda-na-abiria.jpg

Wadada wasiojua kuogelea wanavyokuwa wakienda kuogelea

wadada-wasiojua-kuogelea.jpg

Hii nayo ni kweli katika mapenzi?

IMG-20160506-WA0012.jpg

Je hii ni kweli kama hukupigwa na vitu hivi saivi unapigika na maisha?

IMG-20160303-WA0003.jpg

Hivi ugali wa mahindi haya utakuaje? ni shida

IMG-20160321-WA0045.jpg

Huyu nyani ka mtu vile

nyani-akisoma-gazeti.jpg

.

page 1 of 31236123...3123531236next »

😂 NIMEIPENDA HII👉 Hakuna siku mbaya maishani kama hiiV.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

rafiki.gif
UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.