ENJOY-KITUKO-KWA-MHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia huyu polisi kitu alichonijibu

Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anausika na Kesi za Mauaji.πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Hii sasa ni kali

*Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi*πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Jamaa amkomesha boss wake

**Kuna jamaa alifutwa kazi…

Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…
boss: _mbona waja kunya kwangu?_
jamaa**: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


La kweli hili kuhusu watu wanaokuuliza kuhusu familia yako?

sio-wote-wanaouliza-watoto-hawajambo.jpg

Huyu mama ni shida, japokua amemfumania housegirl na mume wake lakini hataki kumfukuza! soma

IMG-20160318-WA0006.jpg

Namna ambayo unaweza ukawa unawachanganya malaika

MALAIKA-UNAWACHANGANYA.jpg

Hapo sasa! Daraja jipya la kigamboni lawa kivutio cha utalii wa bure

IMG-20160423-WA0037.jpg

Wadada wasiojua kuogelea wanavyokuwa wakienda kuogelea

wadada-wasiojua-kuogelea.jpg

Ungekua wewe ndo umemfumania dada yako hivi ungefanyaje?

IMG-20160323-WA0009.jpg

.

page 1 of 37897123...3789637897next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Acha usumbufu...V.gif
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
Marafiki-wa-enzi.GIF
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Jarida la kilimo bora cha kabichi

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.