CHEKA-VITUKO-NA-WAHENGA

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"

Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti."
Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!"

Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke!

Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema "Turudi mipango yote imevurugika…

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


V.gif Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚


Ajabu la 8 la dunia, Dunia hii ina mambo sana jamani

IMG-20151217-WA0005.jpg

Angalia make-up zinavyoweza zikaleta utata

matatizo-ya-make-up.jpg

Pima macho sasa, unaona sura ngapi hapa?

IMG-20160408-WA0053.jpg

Ujumbe kwa wale wanaojiona masuper ster

IMG-20160506-WA0011.jpg

Angalia sababu ya dogo kumuandika mwalimu mpiga kelele darasani

kitito.jpg

Duu! Hawa wananyoa nywele kwa kisu, ulishawah ona?

kjh.jpg

.

page 1 of 38476123...3847538476next »

πŸ˜‚ NIMEIPENDA HIIπŸ‘‰ Upendo wa kweli ni nini?V.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
KADI-SALAMU-USIKU-MZAZI.JPG
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.