CHEKA-MHENGA-KWA-VITUKO

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
"Honey kama upo nyumbani umelala naomba unitumie ndoto
zako,
Kama unakula nitumie chakula, Kama unacheka nitumie kicheko
chako,
Kama unalia nitumie machozi yako,Kama unatoa pesa kwenye
A.T.M nitumie pesa." Boyfriend akajibu "NIKO CHOONI LABDA
NIKUTUMIE KINYESI MPENZI!!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hizi ndizo picha kali za kuchekesha mwaka huu mpya

4383_p41.jpg
8i.jpg
baba%20na%20mwana.jpg
funny-cat-03.jpg
NEpdz.jpg
really-funny-cat.jpg
very-funny-video-that-make-you-laugh-hard-and-crying.jpg

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?

Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???😜😜😜😜

Mi naona MAMBA ndo kiboko!😳

Ujinga mbele kwa mbele😜😜😜😜😜🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻

😂😂 😂 😂😂


Cheki sababu ya huyu jamaa kutokupenda mchezo wa mieleka

IMG-20160507-WA0001.jpg

Angalia huyu mzee anachokifanya baada ya kupewa mic

mzee-microfoni.jpg

Angalia huyu jamaa anaenjoy tuu. Nishida!

IMG-20160506-WA0003.jpg

Duh! Paka wa Dar ni noma..!

paka-wa-dar.png

Mambo yanayoweza kukupata ukubwani kama ulivuka steji ukiwa mtoto

mtu-mzima-na-gari.jpg

Ulevi noma, cheki huyu mlevi alivyomjibu hakimu

hakimu-na-mlevi.jpg

.

page 1 of 33311123...3331033311next »

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

mtu.gif
utotoni.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.