CHEKA-HIZI

Mpendwa Msomaji, baada ya kufurahia kichekesho kuhusu; Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua, sasa nimekukusanyia vichekesho vingi kwenye makala hii unayoisoma kuhusu;

CHEKA-HIZI.

Endelea kefurahia vichekesho kila siku unapotembelea ukurasa huu. Ukitembelea ukurasa huu kila baada ya dakika moja utaweza kusoma vichekesho vipya. Kwa sasa kuna vichekesho 484 kwa ajili yako.

CHEKA-HIZI

By, Melkisedeck Shine.

V.gif Cheki kilichompata huyu dada!!

NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, +++ KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,

Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!😭😭😭

Mchungaji- Tuambie Babu Pingamizi Lako!

Babu-Nimeamua kuja mbele,kule nyuma sisikii vizuri! watu hoiiii!!

hata mimi hoi…😃😃😃😃😃😃😃

😂😂 😂 😂😂


V.gif Angalia anachojibu huyu babu. Wazee wengine bwana

*Babu*: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera
*Mjukuu*:Niambie babu
*Babu*:Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui wakatuambia chagueni kuuliwa au kubakwa.
*Mjukuu*:Sasa babu wewe ulichagua nn?
*Babu*:Niliuliwa!!!

😂😂 😂 😂😂


V.gif Hii kazi kweli kweli

UNATOKA SEBULENI UNAENDA ZAKO CHOONI UNAINGIA TU HIVI GHAFLA UNAKUTANA NA MZIGO MKUBWA WA MAVI JUU YA CHOO ALAFU UNAAMUA KURUDI ZAKO ILE UNATOKA TU UNAMUONA DEMU MZURI ULIYEMTONGOZA JANA ANAKUJA KUINGIA CHOO ULICHOTOKA WW NA KINA MZIGO WA MAVI JUU NA AMEKUONA WW NDIO UMETOKA MLE NDANI ..unaamua kurudi ili uka flash bahat mby maji hakuna.!!!

😁😁😁*HAPO NDIO UTAJUA KWANINI SIKU HIZI HATUPENDI UJINGA😆😆😆😆*

😂😂 😂 😂😂


Wachawi walivyokamatwa wakiwa wanaenda kuwanga, wakiwa wamepanda nyungo kila mmoja na ungo wake

IMG-20160412-WA0000.jpg

Angalia huyu bodaboda anachomuwazia huyu abiria wake na abiria wake anachomuwazia bodaboda

bodaboda-na-abiria.jpg

Uharamia ndio unaanzia kama huku

ubabe-utoton.jpg

Haya ndiyo matatizo ya mwanamke kuolewa na mume mwaminifu

mme-mwaminifu.jpg

Huyu ndiyo fundi wa admini

fundi-mtoto.jpg

Ukisikia tetemeko la mguu ndio hili hapa sasa

indexoii.jpg

Unaweza kusoma vichekesho vipya wakati wowote unapotembelea ukurasa huu kuhusu; CHEKA-HIZI, kwenye ukurasa huu vichekesho vinabadilika kila baada ya dakika moja. Ukifunga ukurasa huu na kisha kuufungua tena baada ya dakika utaweza kuona vichekesho vipya.

Pia Unaweza kuendelea kusoma vichekesho hivi;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG