Leo nimekuandalia vichekesho vifuatavyo bomba vya kufurahisha
Vilevile, ninakuhakikishia kuwa kila unapotembelea ukurasa huu utaweza kusoma vichekesho vingi vipya kila dakika unayotembelea. Kila unapokuwa na hamu ya kucheka, hapa ndipo pa kuja. Kila siku utacheka weeeπππ mpaka uinue miguu juu
Ni wewe tuu…!πππ
Wasichana wafupi wanafurahisha
Wasichana wafupi wananifurahisha sana…. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx πππππ
Toa maoni kuhusu, Wasichana wafupi wanafurahisha
Mme amemfuma fundi wa kitanda na mke wake, cheki walichokua wanafanya
Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18.
Wakati fundi anaendelea na kazi kumbe mmeo huyu dada alishafika. hakutaka kumjulisha mkeo, kwa nia nzuri tu ya kumfanyia suprise, kwani alikuja na mazaga zaga kibao. Hiyo aliingia kwa kunyatia hadi kwenye mlango wa chumbani kwao. Ghafla akasikia mazungumzo ya mkeo na fundi ndani. Mazungumzo yalikuwaje? fuatilia hapa chini
Mama X: Fanya haraka mme wangu amekaribia
Fundi: Nakaribia kumaliza, nisaidie kuchomeka vizuri upande wako (akikusudia chaga)
Mama X: Mbona haiingii
Fundi: Ingiza kwa upande upande
Mama X: Sukuma kwa nguvu
Fundi: Angalia usiumie
Mama X: Hamna shida imeingia
Wakati jamaa akiendelea kusikiliza mlangoni, fundi akaweza godoro juu ya kitanda na mama x akajitupa kitandani kujaribu kama kimetengamaa. mara chaga akachomoka na kuanguaka chini. Nini kilifuata
Mama x: Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiii(miguno) "my God, mbona hivi"
Fundi : Pole sana
Mama X: sasa?
Fundi: Ngoja nichomeke tena
Mama X: Yaan wewe, utaacha mme wangu afike hatujamaliza
Fundi: Usijali namaliza sasa hivi
Baada ya dakika chache, fundi akamuaga mama na kumwambia tayari, sasa naona umefurahi. Kutoka tu mlangoni akakutana uso kwa uso na jamaa amekunja ndita kama matuta ya viatu. Gues what happened?
Kitu gani kitatokea kisia toa maoni yako kama ni ww ungefanyaje?
Toa maoni kuhusu, Mme amemfuma fundi wa kitanda na mke wake, cheki walichokua wanafanya
Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo
JAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe
WATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa!
JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake
WATU: Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu..
JAMAA : Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake
πππππππ
Toa maoni kuhusu, Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure
Dunia ina mambo, soma hii
Dunia ina mambo
Kuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wakeπππππ
Toa maoni kuhusu, Dunia ina mambo, soma hii
Hii michezo mingine imezidi sasa, Angalia mazoezi ya kunya, hapa mshindi ni nani?

Toa maoni kuhusu, Hii michezo mingine imezidi sasa, Angalia mazoezi ya kunya, hapa mshindi ni nani?
Kilichotokea Leo mahakamani
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..
Order! Order…
Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu …
Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..
i think wananiandalia chapati
πππππππππ
Toa maoni kuhusu, Kilichotokea Leo mahakamani
Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako."
Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2
Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu!
Haya nenda
Ulevi sio mzuri
ππππ
Toa maoni kuhusu, Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya
Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……
Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.
"Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bae sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!"
Mshkaji jiii! hajajibu kitu…..
Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.
"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 5000 ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"
Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji.
"BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"
#dada wa watu mashavu yakamshuka… hakuamini kilichotokea…. yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwa……
JAMANI WADADA kama una nia ya kupiga kirungu uwe unatoa pesa kwanza ndo unatoa excuse… kuna watu wamevurugwa!!!
Toa maoni kuhusu, Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?
*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?
*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.
*Boss*:-umesoma mpaka wapi?
*Jamaa*:-mpaka form four.
*Boss*:-unajua kingereza?
*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.
π
π
π
π
π
π
Toa maoni kuhusu, Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?
Sababu za kumuacha mke kama umemchoka
Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi
_
1. Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua… It's Over!!!
_
2. Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over!
_
3. Nimekupigia umepokea simu hapohapo. Huna subira. Itβs over!!
_
4. Nilikwambia huwa napenda chakula cha moto lakini hujanipashia ice cream. Hunijali. It's over!
_
5. Nimekupa mayai mawili, moja uchemshe jingine ukaange. We umekaanga ambalo ulitakiwa kuchemsha na umechemsha ulilotakiwa kukaanga. Huniheshimu, Itβs over!
_
6. Nimekuita DARLING na wewe ukaniita HONEY. Yani kwa maana nyingine unamuita mama yangu NYUKI. Huheshimu wazazi wangu, fungasha kilicho chako. its over.
πππππππππ
Toa maoni kuhusu, Sababu za kumuacha mke kama umemchoka
Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI.
Toa maoni kuhusu, Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka
watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto
wangu walee wanakwenda shule..
Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee,
Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi
yuleeeeeeee…. naenda kazini!! JE, NI KWELI
AMEPONA??
Toa maoni kuhusu, Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
Hakuna siku mbaya maishani kama hii
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili πππhapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
Toa maoni kuhusu, Hakuna siku mbaya maishani kama hii
Kapresha kakiamua kuja kanakujaga tuu, cheki kilichompata huyu mme wa mtu mpenda michepuko
Kimchepuko chako kinakuandikia meseji kama hii…
…Samahani baby kama unavyojua nimeokoka ,nimetubu kanisani lakini nabii kaniambia niwaombe msamaha wote niliowakosea.
Nimemkosea sana mkeo kwa kumwibia mumewe na nimepanga kuja kumwomba msamaha kesho ntakuja na nabii na Mchumba wangu mpya nilie mpata kanisani.
Samahani kwa usumbufu uliojitokeza lakini hilo ni kwa ajili ya utukufu wa bwana!!!
Wako Manka wa Magorofaniπ π
Toa maoni kuhusu, Kapresha kakiamua kuja kanakujaga tuu, cheki kilichompata huyu mme wa mtu mpenda michepuko
Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!!
Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN"
Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia 'NIPENDE ATA NA KIDNEY'ππππππππ
Toa maoni kuhusu, Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!
Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao
Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…
Duh… makonda noma…!!
Toa maoni kuhusu, Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao
Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
NIMEKAA NIKAWAZA ππΌ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVIππ» WAAFRIKA HATUYAJUI π
KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πΊπΈWACHINAπ―π΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWAπ½πͺ TUNAWAPITA KIMAENDELEO
MAMBO YENYEWE,,
HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA ππππ
Toa maoni kuhusu, Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
Machizi ni noma | Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani
Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi.
Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
da!balaaa
Toa maoni kuhusu, Machizi ni noma | Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani
Padri Akimbia wakati wa kuungamisha, chanzo ni hiki
Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisani
peke yake.
Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wa
pili, akafanya ishara ya msalaba kisha akaanza kuungama
{confess}
"Padri nimekuja kuungama dhambi zangu, leo nimefanya
dhambi kubwa sana."
Padri, "Endelea…"
"Bosi wangu aliniita nyumbani kwake, akaniambia
amegundua nimeiba shilingi millioni 100 kazini. Akasema
nisipozitoa atanipeleka polisi, sa kwa ukweli mi naogopa
kufungwa.
Nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke
yetu,nikatoa bastola nikamuua….. Yesu atanisamehe?"
Padri: "Utasamehewa."
"Basi wakati nataka kuondoka nikasikia mlango
unafunguliwa kutazama, Loh! Mke wa bosi, alipoona
kilichotokea akasema anapiga polisi simu.
Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke
yetu, nikamuua na yeye pia… Yesu atanisamehe hilo?"
Padri: "Utasamehewa."
Nikatoka nje, nikawasha gari niondoke, lakini mlinzi
akakataa kunifungulia, ati amesikia mlio wa
bastola. Nikaona ataniletea kizuizi huyu.
Nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke
yetu, nikamuua….. Yesu atanisamehe?"
Padri:"Utasamehewa."
"Nikajifungulia geti mwenyewe nikaenda
nyumbani, wakati napanga kuja kuungama mtoto wa bosi
akabisha hodi, nikawaza mambo gani tena, akasema alirudi
nyumbani na kukuta yaliyotokea akanionesha diary ya
babake, inayoonesha nilikuwa na appointment naye
wakati nilipomuua. Nikamuuliza nani mwingine anayejua?
Akasema ameanzia kwangu kisha anaenda polisi.
Nikatazama huku na huku nikakuta tuko wawili peke
yetu, nikamuua….. Yesu atanisamehe na hilo?"
Kimyaa….
"Padri yesu atanisamehe?"
kimya….
Jamaa akatazama kwenye confession booth padri
hayupo, lakini kwenye kona moja akaona kabati la nguo
za mapadri linatikisika. Kufungua akaona padri kajificha ndani anatetemeka huku akitokwa na jasho.
Jamaa, "Sasa baba mbona umekimbia?"
Padri kwa taabu akajibu, "Nilitazama huku na huku
nikagundua tuko wawili peke yetu……."
Toa maoni kuhusu, Padri Akimbia wakati wa kuungamisha, chanzo ni hiki
Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere
Mzee: Dereva ongeza sauti tumsikilize Mwalimu Nyerere!!
Dereva: ungemsikiliza mwalimu wako miaka iyo saivi ungekua na gari yako
π π π π π π π π π
Toa maoni kuhusu, Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere
Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli
Mwanafunzi wa darasa la 2 kaulizwa na mwalimu wake
Hivi:je ukipewa maandazi 5 ukiambiwa kula 3 tu yatabaki mangapi?
Akamjibu hivi:nikipewa na chai hakibaki kitu mwalimu.
Toa maoni kuhusu, Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
''YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapa…!!!
Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA…!!!"
Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee
JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEβ₯
Toa maoni kuhusu, Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo
Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:
MCHUNGAJI: My name is Pastor Livingstone
MKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishi
MCHUNGAJI: We thank God for All goals we set by our hands
MKALIMANI: Tunamshukuru Mungu kwa Magoli yote tuliyoweka kwa Mkono
Hivi navyoongea kanisa halina viti waumini wote tumekimbia nje naona Mkalimani amebaki na kiatu cha kushoto tu.
Sunday joke
Toa maoni kuhusu, Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo
Swali la kizushi kwa wadada wanaovaa mawigi
Hivi wadada mnaovaa mawigi.
ππ½ Utajisikiaje siku Boyfriend wako anaingia chumbani halafu anatundika NDEVU kwenye hengaπ€£
Toa maoni kuhusu, Swali la kizushi kwa wadada wanaovaa mawigi
Madhara ya kwenda baa na mke ndo kama haya
Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa
akamnong'oneza:- "AKULIPE KABISA KABLA HUJALALA NAYE, NI MGUMU KULIPA HUYOO!!.
HALAFU HUWA HATUMII KONDOMU…"
Unajua ni nini kilitokea?.
Toa maoni kuhusu, Madhara ya kwenda baa na mke ndo kama haya
Huku ndiko kuumbuka bila chuki
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema
ππππ
Toa maoni kuhusu, Huku ndiko kuumbuka bila chuki
Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo
STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaa…
πsick
πat movie π in a meeting2
π kind of happy,, πbusy,,
πavailable
πDriving
πsleeping
STATUS ZA WABONGO SASA MBUTA NANGA MBONGO NGAFU
"Akutake nani una shepu la Kitorondo utaishia kumegwa na kuachwa
"Watu tuna nyota za Chips Mayai sio wewe mwenye Nyota ya Punda,halulaaa"
πKantangazeee ndo Kwanza naanza na ntakukomesha Mwanaharamu we!
π I love yu so much ur my only one,No one lyk yu and I mean it πΆ Yu ma numba1 ma sweet sweet namba1 roho yangu mama,,
π Asante π vimenitoshaaa tena kama ulijua πππππ,
πͺ unajifanya simba kumbe nyau mimi ndo maji kama hujanioga utaninywaa,
π nauza Ubuyu kwa bei nafuuu kama unataka inbox me plz
π poleee jaman utapona wangu,,,
πͺ utalijua jiji na chuki zako walingia na tako wakati hadi nyani analo kitu sura dada…
π‘ usinisemeshe usiniongeleshe tena utaniambia vizur ulikuwa wapi..
π· mdomo kaumbiwa mwanadamu ongeeni nyie me sijali ya wanafiki nafanya yangu huna hadhi ya kujibiwa na mimi
pamoja na ya kwako ulowekaππππ
Toa maoni kuhusu, Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo
Hii sasa kali!!!
Mwalimu kauliza swali darasani
wanafunzi wataje
kazi za wazazi wao:
TINA: mimi baba yangu
mfanyabiashara mama
yangu mwalimu.
MWALIMU: Safi, haya juma
JUMA: Baba yangu dereva mama
yangu hafanyi
kazi.
MWALIMU: Vizuri, haya Zogo.
ZOGO: Mimi mama yangu malaya
anajiuza baba
simjui.
MWALIMU: Pumbavu wewe, nenda
ofisini kwa
mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi
wote
uliosema hapa. Zogo anaenda ofisini
anarudi
huku anatabasamu na anakula
biskuti.
MWALIMU: Mwalimu mkuu kakupa
adhabu gani?
ZOGO: Kaniambia nimpe namba ya
mama…
π
Toa maoni kuhusu, Hii sasa kali!!!
Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Kwa Wale wadada mnaotaka kuolewa…Chagueni wanaume wenye PESA.infact, hakuna mwanaume MWAMINIFU..Lakin ni heri uyatoe MACHOZI mkiwa PARIS, lakin sio TANDALEππΈππΈ
Ni utan tuu!
Toa maoni kuhusu, Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao
πππππ
*UCHAWI* ni nini?
`Uchawi ni pale mpenzi wako anapokupeleka kwao kufika tyu ghafla unakutana na dada yake getini ambaye alikuwa ni mpenzi wako wa zamani, ile kuingia ndani unamuona kaka yake ambaye mlipigana baada ya kukufumania na mke wake, hujakaa vizuri unamuona mama yake ambaye ndiye jimama shangingi lako anayekuweka mjini akupaye jeuri ya kutamba ambapo hata gari unalolitumia alikupa yeye na hataki upajue anapoishi, wakati unataka kuondoka unakutana uso kwa uso na baba yake ambaye alikuwaga wakili wako kwenye kesi ya ubakaji`
π€£πππππ€£
Toa maoni kuhusu, Huu ndio uchawi unaweza kufanyika siku mpenzi wako akikutambulisha kwao
Kizungu nacho ni sheeeedeer
Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.
Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
Mtafsiri: They don't cook here
Mtalii: What type of snacks do you have here.
Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote
ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao.
Mtafsiri: They don't cook any type of snacks
here,
maybe you can go back and eat at home.
Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena
sasa hivi kabla sijakasirika.
Mtafsiri: Lets get out of here
ππππππ
Usicheke pekeyako
Toa maoni kuhusu, Kizungu nacho ni sheeeedeer
Mambo ya pesa haya..
MAMBO YA FEDHA AISEE……. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= …acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi A… safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona. πππππππ
Toa maoni kuhusu, Mambo ya pesa haya..
Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa
MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisaha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"
MLEVI: Niletee supu kisha wasikilize wote waliokaa hapa na wao wape supu sipendi kunywa supu watu wananiangalia
Safari hii watu wakapiga makofi
Baadae akamuita mhudumu
MLEVI: Niandikie bili zangu kisha waandikie wote bili zao sipendi kulipa huku watu wananiangalia
Wale wateja wakamvaa na kumshushia kichapo… teh teh teh teh teh hii kali hakuna cha bure mjini hahahaha na jasho la mtu haliliwi wandugu
Toa maoni kuhusu, Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapa
Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba
πHII NI KALI KULIKO ZOTE ULIZO
ZISOMA
- KUNA WIZI UMETOKEA BENKI
β’Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za
Serikali na Maisha ni ya kwenu", wote wakalala
chini (HII INAITWA DHANA …YA USHAWISHI) -
kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria)
β’ Kuna dada kwa woga akawa
amelala chini kimitego, Jambazi
akamwambia, "dada hebu kuwa
na adabu chukua kanga jifunike hili ni tukio la
ujambazi na sio la ubakajiβ (HUU UNAITWA
WELEDI) -zingatia ulichofundishwa kufanya)
β’ Walipotoka kwenye wizi jambazi mdogo
ambaye ana shahada ya Uzamili ya biashara
akamwambia mwenzake, "tuzihesabu hizi
fedha.β Yule mkubwa akamcheka kwa dharau
na kumjibu, "wewe mjinga sana hizo hazina
haja ya kuhesabu saa mbili wata tutangazia
kwenye taarifa ya habari tumeiba kiasi gani.
(HUU UNAITWA UJUZI) - Siku hizi ujuzi ndio
bora kuliko vyeti)
β’ Baada ya majambazi kuondoka meneja
akamwambia mhasibu wa bank, " ujumlishie na
zile milioni 80 tulizo iba sisi.β (HUKU KUNAITWA
KUOGELEA NA MKONDO WA MAJI -
kushabihiana na mazingira magumu kwa faida
binafsi.)
β’Mhasibu akafurahi na kusema, "dah wizi
ukitokea kila mwezi itakuwa burudani
sana.β (HUKU KUNAITWA KUWA NA MAWAZO
CHANYA - Furaha ndio kitu cha muhimu zaidi)
β’ Meneja kafurahi sana kwa kuwa sasa
matatizo yake yametatuliwana wizi uliojitokeza.
(HUKU KUNAITWA KUTHUBUTU-shikilia nafasi
pale inapojitokeza hata kama ni hatari kiasi
gani.
Haya usiku wake taarifa ya habari ikatangaza
kuwa wizi mkubwa sana wa million 100
umetokea leo benki. Majambazi kuskia hivyo
wakaanza kuhesabu zile pesa lakini wakajikuta
na milioni 20 tu.
πYule jambazi mkubwa akashtuka na kusema,
"dah! yaani meneja kaiba mara nne zaidi yetu
bila kutumia msuli? Bora Umeneja kuliko
Ujambazi.β (HII INAITWA ELIMU NDIYO KILA
KITU) - ishike sana elimu ina nguvu kuliko
chochote.
KAMA UMEIPENDA SHARE
Toa maoni kuhusu, Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.
3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.
4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.
5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.
6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.
7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.
8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.
9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.
10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.
11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick
12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi
13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani
14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.
15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.
16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.
17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.
18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier
Toa maoni kuhusu, Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu
Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia πππ
Marafiki wawili (Jose na Ben) walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.
Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:
Ben: Muone yule mrembo amenirushia busu
Jose: tafadhali achana na huyo mwanamke, usimjali..
(baadae yule mwanamke akamuashiria aende)
Ben: yule mwanamke ameniita!
Jose: Rafiki yangu, usiende. Nakutafadhalisha.
Ben: Kwa nini unaniambia nisiende Wakati mrembo kama yule ananiita? Huo ni wivu
Jose: Ben, Ninakutafadhalisha tena, usiende, tafadhali usiende kule (akihisi kutotiliwa maanani)
(Rafiki yake alimpuuza na alienda kwa yule mwanamke, mwanamke alishuka kukutana naye na wakapanda juu. Ghafla wakiwa wanataka kuanza taratibu za kula uroda, wakasikia mlio WA gari getini).. ππ
Lady: _(akiangalia kupitia dirishani)_
Oooh! Yule ni mume wangu!!
Ben: Mama yangu !
Nipo matatani, kweli ? ..!!
Lady: Usiwe na khofu, jifanye kuwa Dobi na anza kupiga pasi hizo nguo
(akimuonyesha lundo la nguo)
(Ben alitumia masaa matano kukamilisha kunyoosha zile nguo kwa sababu yule mume hakutoka tena siku ile)
(Siku iliyofuatia Ben alikwenda kwa Rafiki yake)
Ben: Kaka, unaweza kuamini Jana nimepiga pasi nguo kwa masaa matano???
Jose: Lakini nilikwambia usiende. Nguo zote hizo ulizonyoosha, Nilizifua Mimi Juzi!!
πππππππππ
When an experienced person speaks … πyou must listen..!
Toa maoni kuhusu, Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia πππ
Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa
jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…
Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuullza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu: "kinachonichekesha, yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza.
Toa maoni kuhusu, Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa
Kwa namna hii wizi utaisha?
Kwa namna hii wizi utaisha?
Toa maoni kuhusu, Kwa namna hii wizi utaisha?
Angalia huyu dogo anachofanya na haka kanyau
Toa maoni kuhusu, Angalia huyu dogo anachofanya na haka kanyau
Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!
Binti: Hallow mpenzi, Mambo
Jamaa: Poa baby
Binti:Uko wapi?
Jamaa: Niko town napata lunch
Binti: Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi
Jamaa: Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?
Binti: Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.
Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.
Binti: Kwanini dear?
Jamaa: Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli!
Toa maoni kuhusu, Kuwa na mahusiano na msichana kama huyu ni changamoto, Mabinti bwana!
Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!… *Mirembe Mental Hospital.* DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet ππππ
Toa maoni kuhusu, Mcheki Chizi na daktari
Jinsi ya kumteka Beki tatu mpya
Jinsi ya kumteka beki tatu mpya
1 kuwa mcheshi kwake
2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au mdogoako
3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharua kwake
4 mshirikishe kwenye mambo yako ya msingi. Muombe na mpe ushaur mzur
5. Mfundishe kutumia vtu vya ndan mfano. Tv. Computer gems ikiwezekana mfundishe kutumia smartphone yak
6 hakikisha ukiwepo ww hatesek
7 jifanye kuosha vyombo mkiwa wawil
8 mwambie akufundshe kupika
9 omba umfulie nguo mfano chupi
10. Chezen michezo ya kitoto kufinyana kutekenyana
Kinachofuata ni ππΌππΌππΌππΌ kama mkeo tena bila gharama za fedha. Maana hana shida tena mshahara anapata kila kitu anapata ahame aende wapi
Kuwa makin wanaongoza kupata mimba hawa na weng hawajui siku za hatar na hapa urahis wake mkiwa free mkiachiwa nyumba je. Kwa hiyo kuwa makin. Wanawivu pia hawa beki tatu sasa ww mkoleze akolee awe mzembe kazin. Na wengine wanataka mimba kusudi kuwa makini na akipata mimba usimfukuze kaa nae π³π³π³.
Toa maoni kuhusu, Jinsi ya kumteka Beki tatu mpya
Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya mambo mengine ili uyajue baadae
Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!?
Mama: Hapana mwanangu sijakuona.
Mtoto: Kwahiyo ulivyonizaa ulijuaje kwamba ni mimi…!??
Toa maoni kuhusu, Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya mambo mengine ili uyajue baadae
Lugha za namba ni noma
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002 Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU ππmtatuua na lugha zenuπ
Toa maoni kuhusu, Lugha za namba ni noma
Sababu ya mwanaume kunya kitandani alipokuwa kalala na mke wake
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.
Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?"
Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio kitandani mwako uko mbinguni!"
Jamaa, "Huh! Inamaana nimekufa,mbona mi bado kijana… naomba nirudishwe!"
Malaika, "Inawezekana lakini siwezi kukurudisha kama mtu labda urudi kama mbwa ama kuku."
Jamaa akakumbuka mbwa wanavyopata taabu ya kulinda, akaonelea arudi kama kuku.
Malaika akamgeuza kuku, akamwambia ajifunze kutaga kabla hajapelekwa duniani.
Akachuchumaa na kuanza kujikamua; yai la kwanza likatoka. akajikamua tena, yai la pili likatoka. Akajikamua tena mara ya tatu.
Wakati yai la tatu linatoka… akashtukia amepigwa konde ikifuatwa na sauti ya hasira ya mkewe, "Pumbav*! Balaa gani hii…. unakuny* kitandani!!"
Toa maoni kuhusu, Sababu ya mwanaume kunya kitandani alipokuwa kalala na mke wake
Cheka na methali
1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro
2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu
3.Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.
4.Chelewa Chelewa= Ukizikusanya utapata Ufagio.
5.Hakuna Masika= Wakati wa Kiangazi.
6.Mpanda Ngazi= Asiwe Mwoga kuanguka
7.Dua la kuku=
Bismilah rahman rahim
11.Penye wengi= Pana Ajali au Tukio
12.Ukiona vyaelea= Ujue ni vyepesi.
13.Mwenye nguvu= amekula ugal wa dona(…..)
Toa maoni kuhusu, Cheka na methali
Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya
Njeri: Roysambu ni ngapi?
Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine.
Odhis: Hii gari haina watu bana.
Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ngβombe?
Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.
Makanga: Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka.
Mwikali: Excuse me condaβ¦gari za Mwingi zinapandiwa wapi?
Makanga: Ziliacha kupandwa juu hazimei.
Man: Kwani mwisho wa gari ni wapi?
Makanga: Mwisho ni hapo penye number plate iko.
Karis: Ruaka ni how much?
Makanga: Sijaskia Ruaka ikiuzwa. But nikiskia nitakwambia.
Passenger: Shukisha dere.
Makanga: Tukishukisha dere utaendesha gari?
Johnny: Maze, hii gari iko na joto sana.
Makanga: Basi shuka upande fridge
Toa maoni kuhusu, Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya
Wanawake hii nayo ni romantic ?π
Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?πΈπΈ
Toa maoni kuhusu, Wanawake hii nayo ni romantic ?π
Gari na mke nini muhimu?
GARI YA MILIONI 50
UNALAZA NJE…
mke wa laki sita
unalala nae ndani….
BANGI SI NZURI JAMAN
ππππππππ
Toa maoni kuhusu, Gari na mke nini muhimu?
Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"
Toa maoni kuhusu, Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
[NZURI HIIπ] Jinsi ya kukutana na ndugu zako mliopoteana
ππππππ
List of Tags
β’ Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake. 08 Oct 2015 02:09, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake
β’ UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?. 15 Jan 2015 16:50, (wiki: alisema atakayekuandalia atampendeza au basi βfuata hata husema ikiwa kama kanisa lake. lakini mapenzi mimiβ. mungu? mwenyewe mwenyewe. na nao ndiye ndoto βnifuate njia njia. pia tu. ukimfuata unajifurahisha unajitengenezea unajitumikia unatafuta utafuata utafuatisha utamfuata utamtumikia wahubiri watu wewe ya yako yesu yeye yeye. zako zako!β kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?
β’ Imani ya huyu dada imemponza kwa huyu mwanaume. 08 Feb 2017 14:03, (videos: vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Imani ya huyu dada imemponza kwa huyu mwanaume
β’ Nukuu za leo za dini Katoliki. 26 Sep 2017 23:23, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Nukuu za leo za dini Katoliki
β’ VIHOJA-VYA-TANZANIA. 08 Apr 2018 13:57, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VIHOJA-VYA-TANZANIA
β’ Jihadhari na wachapaji wa kadi za harusi, cheki kilichompata huyu. 05 Aug 2016 23:41, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jihadhari na wachapaji wa kadi za harusi, cheki kilichompata huyu
β’ MAKALA-ZA-WAKRISTO. 21 Aug 2017 23:05, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MAKALA-ZA-WAKRISTO
β’ VISA-VYA-WEEKEND. 05 Apr 2018 20:04, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-WEEKEND
β’ Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu. 22 Dec 2017 16:10, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu
β’ MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU…. 08 Oct 2015 02:21, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU...
β’ Simba ni noma, yani nyati na ukubwa na ubabe wote bado kaliwa. 05 Jan 2017 00:56, (videos: nyati simba wanyama kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Simba ni noma, yani nyati na ukubwa na ubabe wote bado kaliwa
β’ Maswali ya msingi ya dini. 08 Aug 2017 16:30, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Maswali ya msingi ya dini
β’ ONA-HII. 15 Nov 2016 12:24, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). ONA-HII
β’ VICHEKESHO-VYA-KUWAADISIA. 05 Apr 2018 17:04, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VICHEKESHO-VYA-KUWAADISIA
β’ CHEKA-WAHENGA-KWA-VIDEO. 04 Aug 2017 16:52, (videos-kali: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). CHEKA-WAHENGA-KWA-VIDEO
β’ Hizi makeup jamani zitaua watu. 13 Jan 2017 03:10, (videos: maajabu kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Hizi makeup jamani zitaua watu
β’ Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE. 06 Oct 2015 17:31, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE
β’ Hii michezo mingine bwana, cheki kilichotokea sasa. 07 Jan 2017 23:29, (videos: ajali gari michezo kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Hii michezo mingine bwana, cheki kilichotokea sasa
β’ USIKOSE-HIZI. 14 Nov 2016 11:29, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). USIKOSE-HIZI
β’ VIHOJA-VYA-KUKUPARAHA. 05 Apr 2018 18:50, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VIHOJA-VYA-KUKUPARAHA
β’ Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani. 06 Oct 2015 17:42, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani
β’ ANGALIA-VIDEOS-MHENGA. 04 Aug 2017 00:33, (videos-kali: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). ANGALIA-VIDEOS-MHENGA
β’ MHENGA-NA-VICHEKESHO. 22 Jul 2017 16:55, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MHENGA-NA-VICHEKESHO
β’ VIDEO-ASUBUHI. 21 Jan 2017 11:55, (videos-kali: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VIDEO-ASUBUHI
β’ VISA-VYA-WASICHANA-NA-WAVULANA. 08 Apr 2018 12:41, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-WASICHANA-NA-WAVULANA
β’ Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?. 02 Mar 2015 11:58, (wiki: afya angaza ataongea baada cha damu hiki hivi (hiv-test). hizi huchukua huduma hupatikana kama katika kawaida kiasi kidogo kipimo kufanya kuhusu kujitambua kukuelimisha kupima kupitia maalumu maambukizo maana majibu majibu. mfupi. mshauri muda na nasaha nchi ni nimeambukizwa nitajitambua njia nzima. pekee pia ukimwi umepata ushauri vile vinapatikana vipi vipimo virusi vituo vvu (vvu)? vya wewe ya zaidi zimesambaa kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?
β’ PICHA ZINAZOVUMA KWENYE MTANAO LEO. 27 Jun 2016 04:23, (picha-za-kuchekesha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PICHA ZINAZOVUMA KWENYE MTANAO LEO
β’ Angalia kilichompata huyu mama kwenye sherehe yake. 13 Jan 2017 07:35, (videos: vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia kilichompata huyu mama kwenye sherehe yake
β’ Ufugaji wa nguruwe. 19 Mar 2015 08:01, (wiki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ufugaji wa nguruwe
β’ Baadhi ya ngumi zilizowahi kutokea uwanjani. 05 Jan 2017 01:47, (videos: michezo mpira ngumi vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Baadhi ya ngumi zilizowahi kutokea uwanjani
β’ Mwaka huu Hizi ndio videos kali ambazo hutakiwi kuzikosa. 17 Feb 2017 05:33, (featured-videos: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mwaka huu Hizi ndio videos kali ambazo hutakiwi kuzikosa
β’ Ujumbe muhimu wa Imani katoliki. 28 Sep 2017 01:36, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ujumbe muhimu wa Imani katoliki
β’ CHEKI-VIDEOS-WAHENGA. 04 Aug 2017 23:51, (videos-kali: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). CHEKI-VIDEOS-WAHENGA
β’ Mapishi ya Supu ya makongoro. 21 Sep 2017 10:15, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mapishi ya Supu ya makongoro
β’ Videos za Leo kwa ajili ya burudani. 15 Feb 2017 09:07, (featured-videos: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Videos za Leo kwa ajili ya burudani
β’ VISA-VYA-KUSHARE. 08 Apr 2018 12:57, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-KUSHARE
β’ Hizi makeup jamani zitaua watu. 13 Jan 2017 03:10, (videos: maajabu kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Hizi makeup jamani zitaua watu
β’ Kilichotokea Leo mahakamani. 18 Feb 2017 00:41, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Kilichotokea Leo mahakamani
β’ USIPITWE VICHEKESHO HIVI KWA WIKI HII. 27 Jun 2016 15:03, (vichekesho-classic: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). USIPITWE VICHEKESHO HIVI KWA WIKI HII
β’ Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari. 08 Oct 2015 02:38, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari
β’ VISA-VYA-WANAWAKE-NA-WANAUME. 05 Apr 2018 19:57, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-WANAWAKE-NA-WANAUME
β’ BLOG-YA-DINI-YA-KIKRISTU. 21 Aug 2017 23:13, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). BLOG-YA-DINI-YA-KIKRISTU
β’ Mambo ya pesa haya… 03 Nov 2016 05:50, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mambo ya pesa haya..
β’ PERUZI-WAHENGA-KWA-KITUKO. 18 Aug 2017 23:31, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PERUZI-WAHENGA-KWA-KITUKO
β’ Dondoo za msingi za Imani katoliki. 19 Aug 2017 15:37, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Dondoo za msingi za Imani katoliki
β’ Nukuu za msingi za dini. 25 Sep 2017 23:32, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Nukuu za msingi za dini
β’ SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye. 22 Dec 2017 16:17, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). SMS nzuri kali ya kimahaba yenye ujumbe wa kuomba pendo kwa umpendaye
β’ MIJADALA-YA-KIKRISTU. 21 Aug 2017 03:43, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MIJADALA-YA-KIKRISTU
β’ Kipaji ni kipaji tuu, huyu japo kilema lakini mtaalamu wa mpira. 04 Feb 2017 11:56, (videos: maajabu michezo kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Kipaji ni kipaji tuu, huyu japo kilema lakini mtaalamu wa mpira
β’ WAHENGA-KWA-KITUKO. 14 Aug 2017 04:05, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). WAHENGA-KWA-KITUKO
β’ Mafundisho ya kweli ya Kanisa Katoliki. 08 Aug 2017 03:40, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mafundisho ya kweli ya Kanisa Katoliki
β’ Videos mpya online sasa. 16 Feb 2017 05:11, (featured-videos: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Videos mpya online sasa
β’ Angalia huyu jamaa anachofanya, usijaribu utaumbuka. 31 Jan 2017 07:21, (videos: maajabu vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Angalia huyu jamaa anachofanya, usijaribu utaumbuka
β’ Hah! Eti huyu ni mume au umeme?. 13 Dec 2018 04:42, (picha-bomba: picha-kali picha-za-ackyshine picha-za-kuchekesha vichekesho vunja-mbavu kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Hah! Eti huyu ni mume au umeme?
β’ VISA-VYA-WATU-WOTE. 08 Apr 2018 12:41, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-WATU-WOTE
β’ PICHA-ZETU. 09 Jun 2016 10:37, (picha-nzuri: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PICHA-ZETU
β’ Kurasa zote. 09 Jan 2015 05:42, (wiki: chochote fundisha hapa huku husika jifunze jinsi karibu kirahisi. kiswahili kuandika kufundisha kuhariri kujua kurahisisha kurahisishia kusaidia kuweka kwenye mada mahali majadiliano mambo mbalimbali mtandao na ni nia pamoja tagi: tukiruhusu tunatamani ujifunze upatikanaji utafutaji wa watumiaji ya yetu zote kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Kurasa zote
β’ Jinsi ya kulima matango. 08 Jan 2015 20:19, (wiki: ardhini arusha biashara chakula. cucumber (cucumber) fito hata hili huoza. hustawi jinsi katika kilimanjaro kulima kulimwa kuwekea kwa kwani la matango matunda mazao mboga mikoa muhimu na nchini ni nje pia pwani. tagi: tanga tanzania tanzania. vizuri wingi ya yake yakilala zao kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kulima matango
β’ Vichekesho-na-Picha. 15 Oct 2016 11:41, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Vichekesho-na-Picha
β’ Ninaweza kupata mimba wakati nipo kwenye hedhi?. 06 Mar 2015 14:26, (wiki: aweze dalili damu halikurutubishwa hedhi hedhi? hedhi. hivyo hubomoka. hufa huitwa hutoka i ili inabidi kama kiume. kupata kupitia kupokea kushika kutoka. kwa kwamba kwenye la le likutane lililopevuka lililorutubishwa limeshakufa linapokosa mbegu mimba mwanamke na ni ninaweza nipo pamoja pevu tumbo ukeni ulishajiandaa utando uzazi vile wakati yai za kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ninaweza kupata mimba wakati nipo kwenye hedhi?
β’ Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili. 22 Sep 2017 08:31, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili
β’ Duh. mjamzito ana kazi. 21 Feb 2017 07:17, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Duh. mjamzito ana kazi
β’ Cheki hawa wanavyoonyeshana ubabe. 15 Jan 2017 16:37, (videos: ngumi vichekesho kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Cheki hawa wanavyoonyeshana ubabe
β’ Mapishi ya wali kuku wa Kisomali. 21 Sep 2017 05:47, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mapishi ya wali kuku wa Kisomali
β’ PERUZI-VITUKO-KWA-MHENGA. 18 Aug 2017 23:33, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PERUZI-VITUKO-KWA-MHENGA
β’ Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali. 21 Sep 2017 13:43, (mapishinalishe: kutibu-chunusi-kiasili kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali
β’ Duu! Hawa wananyoa nywele kwa kisu, ulishawah ona?. 01 Mar 2018 04:52, (picha-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Duu! Hawa wananyoa nywele kwa kisu, ulishawah ona?
β’ PERUZI-WAHENGA-VITUKO. 18 Aug 2017 23:28, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PERUZI-WAHENGA-VITUKO
β’ Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda. 21 Sep 2017 13:29, (mapishinalishe: kutibu-chunusi-kiasili kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda
β’ SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia. 25 Oct 2017 05:24, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
β’ Je, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?. 06 Mar 2015 14:31, (wiki: ana atajamiiana atapata endapo gani hakuna hamu hasa hawana hivyo hufunga inashauriwa je kabisa kama kati kifuko kinamzunguka kiume kubwa kujamii kumfikia kupenya kwa lakini lisigandamizwe madhara magonjwa mama mbegu mfuko mimba mjamzito mtoto mtoto. mwa mwanamke mwanaume mwenye mwenzi mwishoni na ni sana. tumbo ujauzito uwezekano vizuri wa wakati wake? wake. wanawake wengine wowote ya yoyote za zinaa kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Je, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?
β’ Ni hatua zipi zinazochukuliwa na Serikali kuhusu matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya?. 11 Mar 2015 15:52, (wiki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ni hatua zipi zinazochukuliwa na Serikali kuhusu matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya?
β’ Ujumbe wa sasa wa Kikristu. 28 Sep 2017 01:31, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Ujumbe wa sasa wa Kikristu
β’ MICHANGO-YA-WAKRISTO. 22 Aug 2017 23:49, (katoliki-f: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MICHANGO-YA-WAKRISTO
β’ Maswali na majibu ya msingi ya Katoliki. 09 Aug 2017 11:39, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Maswali na majibu ya msingi ya Katoliki
β’ Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake. 08 Oct 2015 02:35, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake
β’ Huyu mtoto akiwa mkubwa atakuaje? kama sasa anawaza bunduki. 26 Jun 2016 01:31, (picha-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Huyu mtoto akiwa mkubwa atakuaje? kama sasa anawaza bunduki
β’ Nukuu za kweli za Kanisa Katoliki. 26 Sep 2017 22:55, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Nukuu za kweli za Kanisa Katoliki
β’ MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA. 21 Sep 2016 00:13, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA
β’ PICHA-UTAKAZOFURAHIA. 24 Jun 2016 15:24, (picha-nzuri: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PICHA-UTAKAZOFURAHIA
β’ VIHOJA-VYA-WIKIENDI. 05 Apr 2018 19:12, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VIHOJA-VYA-WIKIENDI
β’ Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?. 06 Mar 2015 14:32, (wiki: aina anakuwa au duniani. hii i ile inakuwaje inarutubisha inatokea. inayofika jinsia katika kike kike. kiume kiume? kumpata kuna kuwa kwanza kweli kwenye mbegu mbegu. mbili mtoto mwanaume mwili na nchi ni uleule unafanana unatengeneza uwezekano wa wakati ya yai za zinazokua zote kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?
β’ PICHA ZETU KALI KWA SIKU YA LEO. 11 Sep 2016 16:39, (picha-za-kuchekesha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). PICHA ZETU KALI KWA SIKU YA LEO
β’ JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa. 09 Jan 2017 00:52, (uchumi: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
β’ VITUKO-VYA-KUKUCHANGAMSHA. 08 Apr 2018 13:45, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VITUKO-VYA-KUKUCHANGAMSHA
β’ Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe. 09 Oct 2015 05:23, (mapishinalishe: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe
β’ VISA-VYA-KUKUBADILISHA-MOOD. 08 Apr 2018 13:00, (vichekesho-na-picha: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-KUKUBADILISHA-MOOD
β’ Dondoo za msingi za Imani katoliki. 19 Aug 2017 15:37, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Dondoo za msingi za Imani katoliki
β’ Haki za uzazi ni zipi?. 02 Mar 2015 13:36, (wiki: ambapo asili au azaliwapo binadamu binadamu. haki heshima hizi hizi. hupata kama kimataifa kupata kwa mambo mara mke msingi mtu mume na ni ubinadamu uhuru usawa uzazi wamepewa watu wote wote. ya za zina zinatambuliwa zinazohusiana zipi? kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Haki za uzazi ni zipi?
β’ Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha. 26 Oct 2017 09:23, (sms: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha
β’ Dondoo za msingi za Kanisa. 19 Aug 2017 15:34, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Dondoo za msingi za Kanisa
β’ Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya. 05 Sep 2016 23:20, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
β’ Mtu anaweza kurithi uvutaji wa bangi?. 10 Mar 2015 05:37, (wiki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mtu anaweza kurithi uvutaji wa bangi?
β’ VISA-VYA-JUMANNE. 05 Apr 2018 20:03, (vichekesho-bomba: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). VISA-VYA-JUMANNE
β’ Dunia ina mambo, soma hii. 15 Feb 2017 18:39, (vichekesho: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Dunia ina mambo, soma hii
β’ Mafundisho ya dini Katoliki. 15 May 2017 00:39, (featured-katoliki: kichekesho vituko vunja mbavu sms meseji). Mafundisho ya dini Katoliki
Featured
π COMEDY
π PICHA ZA KUCHEKESHA
π Amazing-Friday-gags
π ANGALIA
π VISA-VYA-WIKIENDI
π VISA-VYA-KISASA-TUU
π POSTI-ZA-KUCHEKESHA
π VIDEO-BONGO
π Posti za leo za dini
π Hot-short-gags
π HIZI-SOMA