Ujumbe kwa leo

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Siri ya mafanikio katika maisha: Usiangalie watu, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Ujumbe kwa leo.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Ilinde ndoto yako.

Ujumbe kwa leo

By, Melkisedeck Shine.

Kuna baadhi ya LEVEL huwezi kufika…Kuna MAFANIKIO huwezi kuyafikia…Kuna HELA huwezi kuzipata…Kama umezungukwa na watu BASIC…
Kuanzia asubuhi mpaka jioni wanaongelea WATU TU..Fulani kamegwa na yule..halafu yule naniliu saivi anatembea na yule ex wa nanii…Asubuhi mpaka jioni DISCUSSING PEOPLE…Hawa ndio watu BASIC…Hata siku 1 hawatakupa Ushauri kuhusu HOW TO REACH SOMEWHERE…NEVER
Na ukionekana unaanza kufanya vitu EPIC watakugeuka kwamba UNARINGA.. UNAJISIKIA.. UMEWATENGA…UNAJIDAI UNA HELA…and lots of bullshit…
Pengine ulipaswa kuwa mbaaalii kibiashara lakini HUWEZI coz umezungukwa n Mbaazi tupu…BASIC PEOPLE…Ukiwaambia umesikia Kiwanja kinauzwa Kigamboni wanakwambia Kigamboni watu wanatapeliwa kuna mradi wa Joji Bushi…Ukiwambia unataka kujiunga Forever Living wanakwambia UNALIWA HELA…Ukiwaambia kuna SACCOSS wanatoa mikopo unataka uchukue ujenge wanakwambia INTEREST ZAKE UTASHINDWA na kujenga sio mchezo shosti..Unaamini unaacha!…Nataka kufanya Kitu flani WANAKUKATISHA TAMAA
Unahitaji kuzungukwa na watu wenye POSITIVE ENERGY ambao ukiwambia unataka kwenda Mbinguni kwa kupitia Mkuranga wanakuchangia Nauli…Niliposema naacha kazi watu ohh utakula nini..utaishije…Mji Mgumu huu..Wenzio wanatafuta kazi we unaacha utalosti…WHO SAID??Nadunda kama kawa..NEGATIVE PEOPLE WILL BRING U DOWN….Ukitaka Kupaa kaa karibu na ndege…We unataka kupaa unakuwa rafiki wa Nyangumi…UNAZAMISHWA SASA HIVI!!
Tangu nianze kukaa na watu Positive I have changed a lot…Nikiwaza jambo wanauliza HOW DO WE ACHIEVE THIS na sio FULANI ALIWAHIFANYA HII AKAFELI..
Ikikusaidia Chukua..
KILL ALL NEGATIVE PEOPLE AROUND YOU kama unataka kufikia Malengo Makubwa, I will be ur Lawyer at the Court na mwambie Hakimu nilikutuma mimi!
TIME TO DELETE ALL BASIC PEOPLE who wait of optionπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‰πŸ˜‰

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Ujumbe kwa leo. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Ujumbe kwa leo, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Siri ya mafanikio katika maisha: Usiangalie watu, endelea kusoma...

β€’ Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima, endelea kusoma...

β€’ Nia yako isishindwe, endelea kusoma...

β€’ Angalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri, endelea kusoma...

β€’ Ushauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika, endelea kusoma...

β€’ Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara, endelea kusoma...

β€’ Ugumu wa maisha huanzia akilini mwako, endelea kusoma...

β€’ Ushauri wangu kwa leo, endelea kusoma...

β€’ Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida, endelea kusoma...

β€’ UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Ujumbe kwa leo, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-SALAMU-JIONI-MZAZI.JPG
UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG