Tafuta

πŸ‘‰ Sababu inayopelekea kushindwa kuishi maisha ya ndoto zakoπŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Look for Research Consultant?

1. Hauko Tayari kuthubutu na kujiunga
2. Kutokujiamini
3. Kutopata sehemu sahihi ya kupata ushauri
4. Kutokuwa na sababu za msingi au malengo ya msingi ya kupigania ndoto zetu
5. Kukaa katika shauli la wasio haki na barazani pa wenye mizaha

Hizo ni baadhi ya sababu zinazopelekea watu wengi kushindwa kuishi maisha ya ndoto zao na kuishi maisha ya kawaida tofauti na fikra zao.

Kuthubutu ni jambo la muhimu sanaaa katika maisha ya mwanadamu kwa maendeleo ya kwake ,familia ,jamii pamoja na taifa kwa ujumla hivyo ndugu zangu nawasihi tuweze kua watu wanaothubutu.

Tuondoe uwoga katika maisha yetu Kwamaana Uwoga Ndio CHANZO CHA UMASKINI WETU tukiendeleea kuogopa mazingira yanayotuzunguka na jinsi gani watu watatuchukulia na kutusema atutaweza kupiga hatua.

Changamoto ni hali ya kawaida katika maisha ya mwanadamu , kuogopa changamoto nalo ni Kosa kubwa katika maisha yetu.

…………..Mwisho kabisa nipende kusema……………

USIJILINGANISHE NA MTU MWINGINE MAANA JUA NA MWEZI HAVIFANANI VYOTE UNG'ARA KWA WAKATI WAKE. TENGENEZA MAISHA YAKO ILI WATU PIA WATAMANI KUWA KAMA WEWE.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Sababu inayopelekea kushindwa kuishi maisha ya ndoto zako).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Kampeni ya wafanye watabasamu Ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Kwenye dunia hii vitu haviwezi kusimama kama havijasimamishwa."

misaadas.gif
KJYT.gif
KKJHHGGGFF.gif
KMNBVFTYHJ.gif
awesome-smiley-emoticon.gif

Expert available for Hire

Ndugu yako yupo hapa anakuulizia Anakupenda sana na amekumiss.
Soma%20Zaidi.gif
Jiunge na Kampeni ya kutetea wajane Lengo la kampeni hii ni kuhamasisha watu wote kusaidia na kutetea wajane.
Soma%20Zaidi.gif