Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Look for Research Consultant?

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa

By, Melkisedeck Shine.

Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.

Ajabu ya kwanza ni kwamba sio zote 200 - 300 ambazo hufanikiwa kulifikia yai( nyingi huchoka na kufia njiani maana si mashindano ya mchezo mchezo).
Ajabu ya pili ni kwamba kati ya hizi 300 zinazofanikiwa kufikia yai, ni moja tu..moja tu itakayoshinda nakufanikiwa kupenya na kurutubisha yai, na kwa mantiki hii ILIYOSHINDA NI WEWE HAPO.

Umewahi kuwaza kuhusu hili vizuri?
Yaani ulishindana mbio hizo ukiwa huna macho na ulishinda, ulishindana bila elimu na ukashinda,ulishindana bila hata cheti chochote wala msaada wa yeyote ….na UKASHINDA.

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa?
Tena sasa uko na macho yote, miguu, sasa Unamjua Mungu, sasa ukiwa na mipango,ndoto na maono.
Kumbuka ULISHASHINDA toka tumboni huna sababu ya kuwa na hofu yeyote, PAMBANA

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?, endelea kusoma...

β€’ KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA, endelea kusoma...

β€’ Ushauri wangu kwa leo, endelea kusoma...

β€’ Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio, endelea kusoma...

β€’ BADILIKA : huu ni mwaka mpya, endelea kusoma...

β€’ JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa, endelea kusoma...

β€’ Una thamani gani?, endelea kusoma...

β€’ Jaribu kufikiria haya, endelea kusoma...

β€’ Angalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri, endelea kusoma...

β€’ Kilimo bora cha matikiti maji, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A UKWELI KUHUSU MSHAHARA, soma zaidi...
A Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida, soma zaidi...
A KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA, soma zaidi...
A Mafanikio ya maisha sio Elimu tuu, soma zaidi...
A Kwa nini watu wanapenda pesa, soma zaidi...
A Mambo 13 katika pesa ambayo unapaswa kuzingatia, soma zaidi...
A Jifunze kupitia mfano huu Ili uishi kwa amani na watu, soma zaidi...

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG
tafuta-rafiki.gif