Nia yako isishindwe

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Kwa nini watu wanapenda pesa, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Nia yako isishindwe.

Nia yako isishindwe

By, Melkisedeck Shine.

Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".
Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwa kurudia rudia, akiamini lazima iwake ili aende anakotaka kwenda. Anajaribu kuwasha kwa kiki ikikataa anajaribu kwa starter, ikigoma anajaribu kuchomoa plug na kuangalia kama kuna tatizo, anajaribu tena na tena mpaka inawaka, anaanza safari yake.

Ingawa ametumia muda mwingi kuhangaika kuiwasha pikipiki yake lakini hakuzimia moyo na kuamua kuitelekeza ili atembee kwa miguu, ila alikua na "NIA" isiyozimika haraka mpaka atakapoona imewaka kwakua anaamini jana iliwaka, lazima na leo iwake hata kama imelala kwenye hali ya hewa ya namna gani.

Ikiwa tunakua na "NIA" ya kufanya mambo madogo madogo yatokee, na tunayasimamia kwa "IMANI" kabisa mpaka yanakua kweli, kwanini tunaogopa kusimamia mambo makubwa yatokee maishani mwetu?. Kwanini unadiriki kusema kwenu hakuna aliyewahi kufanikiwa, hakuna anae miliki gari ya thamanani, hakuna aliyejenga nyumba ya kifahari, hakuna…hakuna….

Kwanini "NIA" yako uilinganishe na kushindwa kwa hao wengine kwenu? Wewe ni mmoja wa tofauti, na ukiamua kujitenga kifikra mbali nao, na kufanya mambo makubwa kwa bidii bila kuzimia moyo, hakika utakua wewe kama wewe kuitwa MABADILIKO ya mafanikio katika hao wengi walioshindwa.

"NIA YAKO ISISHINDWE"

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Nia yako isishindwe. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida
1.💥Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako… soma zaidi
a.gif Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako
20 - 25 =Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya,pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako… soma zaidi
a.gif Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!.. soma zaidi
a.gif Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda…. soma zaidi
a.gif Angalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri
MASKINI NA TAJIRI WANA MAWAZO TOFAUTI.
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.
Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo… soma zaidi
a.gif Ushauri wangu kwa leo
Kuna watu wengi sana huwa wanani-challenge ninaposema kwamba ni muhimu sana mtu kuishi katika kusudi la maisha yake. Na moja kati ya hoja zao ni kwamba haya maisha ya sasa mtu akisema aanze kutafuta kusudi la maisha yake atakufa maskini. Hivyo wanaonelea ni bora kufanya chochote kitakachotokea mbele yake ilimradi mwisho wa siku anapata pesa. Yaani anachagua kuwa mtumwa wa Pesa.. soma zaidi
a.gif Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio
Ukiona unalala masaa 9 wakati Donald Trump analala manne tu. Afu unaamka huna nauli na bado kesho unalala masaa manane tena.. Ujue unashabikia mafanikio… soma zaidi
a.gif Ufugaji wa nguruwe na faida zake
Patrick Tungu Sociologist.. soma zaidi
a.gif Siri ya mafanikio katika maisha: Usiangalie watu
Waziri mkuu wa zamani wa uingereza Sir Wiston Churchill aliwahi kusema
"huwezi kufika mwisho wa safari yako kama utakuwa unasimama kila mahali kumtupia jiwe kila mbwa anaye kubwekea".. soma zaidi

Makala hii kuhusu, Nia yako isishindwe, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani, endelea kusoma...

• Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako, endelea kusoma...

• Mbinu kuu za Kilimo cha Mboga cha uhakika kwa mazao mazuri, endelea kusoma...

• Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupata mtaji kwa ajili ya Biashara yako, endelea kusoma...

• Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako, endelea kusoma...

• Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu, endelea kusoma...

• Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda, endelea kusoma...

• Jinsi ya kulima mahindi kitaalamu kama inavyotakiwa, endelea kusoma...

• Angalia jinsi muda wako unavyopotea, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Nia yako isishindwe, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG
Slide3-mabestimliopotezana.PNG