Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Kilimo bora cha matikiti maji, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Ni vizuri kujua haya.

Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio

By, Melkisedeck Shine.

Ukiona unalala masaa 9 wakati Donald Trump analala manne tu. Afu unaamka huna nauli na bado kesho unalala masaa manane tena.. Ujue unashabikia mafanikio.

Ukiona Bill Gates anasoma kitabu kimoja kwa wiki. Na wewe unasoma kimoja kwa miezi sita ujue nod maana kuna tofauti ya Bill Gates na wewe.

Ukiona unasema utakuwa successful siku moja afu huna DAILY GOALS. Yani hujui ukiamka ufanye nini na jioni utapimaje kama kweli umekifanya ujue hujaelewa vizuri maana ya kuwa successful.

Hard Work beats talent.

You must sleep less and work harder until you get what you want.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Umeshawahi kufanya hili jaribio?, endelea kusoma...

β€’ KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kulima vizuri vitunguu twaumu (swaumu), endelea kusoma...

β€’ Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha boss na mwajiri wake, endelea kusoma...

β€’ Unashangaa kwa nini hufanikiwi?, endelea kusoma...

β€’ Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela, endelea kusoma...

β€’ Siri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri, endelea kusoma...

β€’ Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa, endelea kusoma...

β€’ Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio, endelea kusoma...

β€’ BADILIKA : huu ni mwaka mpya, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

rafiki.gif
UJUMBE-WA-ZA-JIONI-KWA-NDUGU.JPG