Tafuta

πŸ‘‰ Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta helaπŸ‘‡βœ”

Ukimonyesha mtu fursa akakwambia hana hela mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumonyesha fursa ili awe na hela tukumbuke kuwa hela haitokani na hela hela inatokana na fursa

Nijukumu la mtu asiye na hela kutafuta njia ya kuwa na hela watu wengi tunachelewa kufanikiwa kwa kutojua majukumu yetu ili kupambana na UMASIKINI mwombe Mwenyezi MUNGU kwa imani yako akufungue akili…

To ur Success!

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jiunge na Kampeni ya Amani na Upendo Yenye Lengo la kudumisha Amani na Upendo

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Hakuna uwezo bila fursa. Huwezi kusema unauwezo wa kitu kama hauna fursa ya kukifanya."

rafiki.gif
OPOIUYY.gif
big-dancing-banana-smiley-emoticon.gif
SUBIRIA-MSOSI.gif
NGGFDDD.gif

Expert available for Hire

Jiunge na Kampeni ya utunzaji wa miti na misitu Lengo ni kuhamasisha watu kupanda na kutunza miti na misitu kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Soma%20Zaidi.gif
Jiunge na Kampeni ya kosaidia na kutetea Wazee Lengo la kampeni hii ni kuhamasisha watu wote kusaidia na kutetea wazee.
Soma%20Zaidi.gif