.

πŸ‘‰ Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishaniπŸ‘‡βœ”

ACKYSHINE.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 15 Feb 2017 02:01. [Legal & Authority]


Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani

Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7)Kupata ni majaliwa
8)Usilazimishe mambo
9)Kuna watu special siyo mimi.
10)Sina bahati

KAA MBALI NA HUYO MTU. NI HATARI KWA NDOTO ZAKO!!!!

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


mtu.gif

.

.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS