Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

👉 KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA

KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA:

NYANYA HASA KWENYE OPEN SPACE CHANGAMOTO NI NYINGI, HASA WADUDU, KAMA SASA KUNA MDUDU ANAITWA Tuta Absoluta, au waswahili wanaimuita KANITANGAZE MAANA AKIKUVAMIA SHAMBANI HAKUNA NAMNA UTAACHA KWENDA KUMSIMULIA.

Anakausha matunda, na kuyaozesha pamoja na kusababisha matunda kudhoofika. CHANGAMOTO KUBWA WASIYOIJUA WAKULIMA NI KUWA DAWA ZA KUZUIA MDUDU HUYU INABIDI ZIPIGWE KUANZIA MCHE UNAPOKUWA KATIKA KITALU.

WENGI WA WAKULIMA HUKIMBIZANA KUTIBU MDUDU HUYU WANAPOONA MATUNDA YAMEVAMIA (YAMEOZA, AU YAKO NA MAKOVU KATIKA KISHIKIO Calyxn)
LAKINI DAWA DHIDI YA MDUDU HUYO ZIPO KWA SASA.

DAWA ZA KUTUMIA.

1. Colagen, na Belt (Hizi lazima uzitumie alternatively, wiki hii unapiga Belt wiki ijayo unapiga Colagen).
Ukitumia moja tu hautafanikiwa, maana Colagen inweza kuua zaidi mayai na yule funza, na Belt inamafanikio zaidi katika kuua yule moth kipepeo mwenyewe.

Dawa hizo ni za kampuni ya Buyer (Waingereza/Wajerumani)

2. Nimbecidin-Ni dawa ipo kwa sasa inafanya vizuri, asili yake ni mafuta ya Mwarobain (Neem).

3. Evisect-Inasambazwa na Arysta Life Science inafanya vizuri.

4. Abamectini au Dyinamec pia inafaaa sana

AGRONOMY YA NYANYA:

AINA:
Ziko nyingi kama fupi kiasi (Semi Determinent), kama-AINA HIZI HUWEZA KUVUNA KWA MIEZI 2 HADI 4 TANGU ZINAPOAANZA KUZAA.

A: Semi-determinent

1. Eden (Hii inafaa sana wakati wa mvua nyingi-Ni imara dhidi ya ukungu,/Baridi).

2. Ipo Shanty.

3. Assila-Hii ni imara sana wakati wa Ukame.

4. Kipato.

B: Aina Ndefu (Indeterminent)-AINA HIZI NDEFU HUWEZA KUVUNWA MFULULIZO KWA MIEZI 8 HADI 12 TANGU ZINAPOAANZA KUZAA)-HUWEZA KUREFUKA HADI MITA 5 KWENDA JUU.

AINA HIZO NI

1. ANNA F1
2. COLAZON
3.DIVINE
4. GALILEYA
5. EVA

C:AINA ZA OPV-OPEN POLLINATED VARIETIES

1. RIo Grande
2. Onyx
3. Tengeru 97
4.Mkulima

MAZINGIRA.

i. Joto la kadri 20-35 degree sentigrade

ii. UDONGO
-usituamishe maji, Kichanga tifutifu utafaa zaidi, Wakati wa kupanda ukipandia samadi au mboji itafaa zaidi ili kuimarisha udongo

iii. NAFASI YA KUPANDA

Ni vizuri ukatengeneza matuta ya upana japo wa sm 60, na ukapanda double line (Mistari miwili katika tuta moja) nafasi ndani ya mstari ni sm 60 kwa 60 na umbali kati ya mstari na mstari ni sm 45, LAKINI kama utapamda mistari miwili ndani ya tuta moja (raised bed) hakikisha mche wa kwanza katika mstari wa pili unakuwa upo katikati ya miche miwili ya mstari wa kwaza ili KUPATA ZIG ZAGA SHAPE.

Umbali wa tuta hadi tuta,
Umbali wa kutoka katikati ya tuta moja hadi jingine liwe ni 1.5 MITA

Njia hii ya matuta ni nzuri sana kama utaweka drip line (Drip Irrigation)

Kama hauna drip, basi tengenza matuta lakini pande pembeni mwa tuta (chini kidogo mwa tuta) maana kwa njia hiyo utamwagia kwa njia ya Furrow (Mifereji)

KIASI CHA MBEGU

kwa ekari moja utahitaji Mbegu gram 100-150 kwa OPV variety, na Gram 30-50 kwa hybrid (F1) . Ghrama za kutosha eka moja kwa OPV variety ni tsh 100,000-180,000, na kwa Hybrid (F1) Gharama ni kati ya tsh 200,000-400,000 kutegemea na aina yenyewe ya mbegu.

UPANDAJI

Sia mbegu katika kitalu, tengeneza tuta la upana wa mita moja hadi mbili, na urefu wowte utakao, na kisha chora vimefereji vidogo vidodgo kwa kijiti, vilivyoachana baina yake kwa sm 5, kisha dodondosha mbegu taratibu, na kisha fukia na layer ndogo ya mchanga, kisha weka nyasi kavu na mwagia maji, hakikisha unamwagia mwaji uliyochanganya na DAP MBOLEA, Gram 100 sawa na UKUBWA WA KIGANJA CHAKO KIMOJA, WEKA KATIKA MAJI LITA 15/20 KISHA MWAGIA KWA KILA TUTA.

Maji yamwagiwe angalau kwa siku mara mbili (SAA 2 ASUBUHI NA SA 11 JIONI)

MBEGU ZITAOTA BAADA YA SIKU 7 HADI 10 tangu kusia mbegu.

ZIACHE MBEGU KATIKA KITALU KWA MUDA WA WIKI 3 TU KISHA HAMISHIA SHAMBANI.

MAMBO YA KUFANYA SHAMBANI

Kabla ya kupandikiza hakikisha kitalu kimemwagiwa maji ya kutosha-ili iwe rahisi kung’oa miche, na sahamba mama pia liwe limemwagiwa vya kutosha

-hakikisha umechimba mashino mashimo yako kwa nafasi, na kisha kila shimo lipate angalau gram 10 hadi 20 za mbolea moja wapo ya hizi (Yara Miller winner, TSP, DAP, AU Minjingu au NPK)

Kisha weka mmea wako na fukia vizuri udongo, siku hiyo paada ya kupandikiza hakikisha kila mmea unapata angalau ml 250 za maji

BAADA YA KUPANDIKIZA

Chunguza sana juu ya wadudu, wakatao shina (Cutworm), pamoja na wale wanaoharibu majani

Dawa kama Karate, Duduall, Match, Selecron, moja wapo itakufaaa kukabiliana na wadudu hao

Baada ya siku 15 tangu kupandikiza weka mbolea ya kukuzia moja wapo ya hizi, CAN, UREA, Yarra miller winner, au Hata NPK,

Baada ya siku 25 tangu kupandikiza miche itaanza kutoa vitumba vya maua, Hapo unahitaji booster za majani na maua (KUZUIA MAUA YASIDODNDOKE) kama vile, Polyfeed starter, au Multi K (19:19;19), au Yara Miller Tracel Biz AU Wauxal Macro Mix

WAKATI HUU WA MAUA NI MUHIMU

Kuzingatia dawa za kuua wadudu, zipingwe asubuhi sana au jioni sana, ukizipiga mchana sa 6 hadi sa 9, utaua nyuki (watakimbia) na matunda yatajitengeneza bila fertilization, yatakuwa seedless au shape less

MATUNDA YAKIJA

Ni muhimu kuzungusha chini katika mizii mbolea ya Yara Nitrabo, au yoyote yenye Calcium, ili kuzuia kuoza kwa kitako cha matunda (Blosom End rot), au matunda kupasuka-Cracking

WADUDU

Wadudu wasumbufu wa nyanya, ni funza wa matunda, wanaokata miche michanga, wadudu wanaoscratch majani. Leaf miner (Wachora ramani katika majani)

Magonjwa

Kinyaushi cha kwanza, (Early Bright), Kinyaushi cha mwisho (ate Bright), magonjwa ya bakteria na ukungu(Unga mweupe katika matunda), Baka jani (Leaf spot)

MUDA WA KUKOMAA

NYANYA HUCHUKUA KATI YA SIKU 120 HADI 150 TANGU ZILIPOSIWA KATIKA KITALU HADI KUKOMAAA

MAVUNO

Ekari moja inaweza kutoa cret 1300 za kilo 50, sawa na tani 65

SOKO

Nyanya yenye bei nzuri ni ile ya inayoingia sokoni kuanzia disemba hadi March-Nyakati hizo bei kwa cret moja hufika hadi tsh 80,000

Gharama za kuhudumu shamba la Nyanya kwa eka 1 ni takribani 2.5 hadi 3.5 Milioni ( Gharama kubwa ipo, katika mbegu hasa kama ni hybrid (F1), mbolea, maji (Pump), Vibarua (wakati wa kupanda na kupalilia) na madawa ya kuzuia wadudu na kutibu magonjwa.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu; KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA.💯✔ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!👍

Usikubali kupitwa na 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. 👉Bofya hapa Kuchukua👈

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

📰 Posti nyingine👇

📌 Ujumbe kwa leo

Kuna baadhi ya LEVEL huwezi kufika…Kuna MAFANIKIO huwezi kuyafikia…Kuna HELA huwezi kuzipata…Kama umezungukwa na watu BASIC…
Kuanzia asubuhi mpaka jioni wanaongelea WATU TU..Fulani kamegwa na yule..halafu yule naniliu saivi anatembea na yule ex wa nanii…Asubuhi mpaka jioni DISCUSSING PEOPLE…Hawa ndio watu BASIC…Hata siku 1 hawatakupa Ushauri kuhusu HOW TO REACH SOMEWHERE…NEVER
Na ukionekana unaanza kufanya vitu EPIC watakugeuka kwamba UNARINGA.. UNAJISIKIA.. UMEWATENGA…UNAJIDAI UNA HELA…and lots of bullshit…
Pengine ulipaswa kuwa mbaaalii kibiashara lakini HUWEZI coz umezungukwa n Mbaazi tupu…BASIC PEOPLE…Ukiwaambia umesikia Kiwanja kinauzwa Kigamboni wanakwambia Kigamboni watu wanatapeliwa kuna mradi wa Joji Bushi…Ukiwambia unataka kujiunga Forever Living wanakwambia UNALIWA HELA…Ukiwaambia kuna SACCOSS wanatoa mikopo unataka uchukue ujenge wanakwambia INTEREST ZAKE UTASHINDWA na kujenga sio mchezo shosti..Unaamini unaacha!…Nataka kufanya Kitu flani WANAKUKATISHA TAMAA
Unahitaji kuzungukwa na watu wenye POSITIVE ENERGY ambao ukiwambia unataka kwenda Mbinguni kwa kupitia Mkuranga wanakuchangia Nauli…Niliposema naacha kazi watu ohh utakula nini..utaishije…Mji Mgumu huu..Wenzio wanatafuta kazi we unaacha utalosti…WHO SAID??Nadunda kama kawa..NEGATIVE PEOPLE WILL BRING U DOWN….Ukitaka Kupaa kaa karibu na ndege…We unataka kupaa unakuwa rafiki wa Nyangumi…UNAZAMISHWA SASA HIVI!!
Tangu nianze kukaa na watu Positive I have changed a lot…Nikiwaza jambo wanauliza HOW DO WE ACHIEVE THIS na sio FULANI ALIWAHIFANYA HII AKAFELI..
Ikikusaidia Chukua..
KILL ALL NEGATIVE PEOPLE AROUND YOU kama unataka kufikia Malengo Makubwa, I will be ur Lawyer at the Court na mwambie Hakimu nilikutuma mimi!
TIME TO DELETE ALL BASIC PEOPLE who wait of option😜😜😉😉….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Ujumbe kwa leo

📌 Jinsi ya kulima vitunguu (vitunguu maji) kwa mbinu za kilimo bora na kwa faida

Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake ambazo hutumika kama kiungo cha chakula. Vitunguu vina matumizi mengi sana na vina madini joto, chuma, vitamin A, vitamin B, vitamin C na vitamin E.
Vitunguu hulimwa na hukubali zaidi nyanda za baridi. Nyanda zenye joto vitunguu hulimwa pia. Vitunguu vinaweza kulimwa mwaka mzima endapo maji yanapatikana…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kulima vitunguu (vitunguu maji) kwa mbinu za kilimo bora na kwa faida

📌 Ujumbe kwako wewe mwajiriwa au uliyeajiri

Kama umeajiriwa au pia umejiajiri ni mojawapo ya njia zinazokuingizia kipato maana wengi wanaanzia hapo mpaka kuja kufikia kule wanakohitaji.
Ila kuna maswali machache ya kukupa changamoto ambayo nataka ujiulize:-….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Ujumbe kwako wewe mwajiriwa au uliyeajiri

📌 JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?

Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?

📌 KILIMO BORA CHA MBAAZI

MBAAZI (PIGEON PEAS) -Cajanus cajan….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉KILIMO BORA CHA MBAAZI

📌 Mambo ya kufanya mwezi Disemba

✍🏽MAMBO YA KUFANYA MWEZI HUU WA DECEMBA….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mambo ya kufanya mwezi Disemba

📌 Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida

*LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.*….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida

📌 Mafanikio ya maisha sio Elimu tuu

MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mafanikio ya maisha sio Elimu tuu

📌 Jinsi Muda Unavyopotea, Jifunze kitu hapa

Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa miezi 12 au kwa mwaka…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi Muda Unavyopotea, Jifunze kitu hapa

📌 Nia yako isishindwe

Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".
Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwa kurudia rudia, akiamini lazima iwake ili aende anakotaka kwenda. Anajaribu kuwasha kwa kiki ikikataa anajaribu kwa starter, ikigoma anajaribu kuchomoa plug na kuangalia kama kuna tatizo, anajaribu tena na tena mpaka inawaka, anaanza safari yake…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Nia yako isishindwe

.

📓 Posti za sasa👇

A Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako

20 - 25 =Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya,pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako

A UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI

UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA
MTAJI
UJASIRIAMALI
Ni uthubutu au ujaribu wa ufanyaji wa
shughuli yoyote halali na kupitia shughuli
hiyo mtu watu huweza kupata kipato.
MJASIRIAMALI
Ni mtu mwenye yeyote mwenye uthubutu au
kujaribu kufanya shughuli yoyote
halali,ambapo kupitia shughuli hiyo anaweza
kupata kipato ambacho kitamfanya apige
hatua ya kimaendeleo ya kiuchumi.Shughuli
za kijasiliamali zinaweza kuwa za biashara
ya uzalishaji mali au bidhaa.
UMUHIMU WA KUJIFUNZA UJASIRIAMALI
1»Kujenga mtazamo wa kijiasiriamali
pamoja na kuona na kutumia fursa
mbalimbali za kibiashara zilizopo
.Mjasiriamali lazima ajenge uwezo wa
kutumia nyenzo mbalimbali zilizopo katika
kutekeleza majukumu yake kwa kutumia
fursa mbalimbali za kibiashara.
2»>Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa
mipango na mikakati ya kibiashara.
Mjasiriamali anahitaji kuwa mbunifu,kuweka
mipango na mikakati ya biashara zake
3»>Kuweka kumbukumbu muhimu na
kuandaa mahesabu ya biashara
4»>Kutumia mbinu rahisi kupata wateja wa
bidhaa au biashara inayofanywa.
5»>Kupata mitaji na kutumia vizuri fedha
na bidhaa za biashara.kuwajengea uwezo wa
nidhamu ya matumizi ya mapato hasa fedha
au bidhaa za biashara
6»>Kutafuta ,kuongoza na kusimamia
wafanyakazi.kuimarisha muundo wa uongozi
katika biashara na usimamizi bora wa
shughuli yenyewe
7»>kutumia wataalamu na washauri kwa
manufaa ya biashara
SABABU ZA KUWA MJASIRIAMALI NA
KUANZISHA MRADI/MIRADI
1-Mradi wako utapunguza gharama za
maisha
2
-Mradi wako utakufanya uwe kiongozi
[watu watakuiga na kufanikiwa].
3-Mradi wako utakufanya upate heshima
katika jamii.Mfano utaweza kujitosheleza
katika mahitaji yako yote -nyumba yako
,usafiri,n.k.
4
-Mradi wako utakuletea afya na uhakika
wa maisha .Mfano:ukipatwa na tatizo
utaweza kujitegemeya kwa sehemu kubwa
badala ya kuitegemea jamii.
5—-Mradi wako utaimarisha upendo kati
yako na wazazi wako kwani hutakuwa
tegemezi na pia utakuwezesha kuwasaidia.
NAMNA AU JINSI YA KUPATA MTAJI
i»Kujiwekea akiba wewe mwenyewe kwa
kujinyima,kula kuvaa na kutoa michango kwa
kujionyesha.
ii»Kucheza mchezo wa kukopeshana na
ndugu?rafiki hasa wale mnaoaminiana
(waaminifu).
iii»Kuomba mkopo kwa ndugu/rafiki
iv»Kuomba mkopo Benki-Unapokopa benki
uwe makini na mradi wako kwani ukishindwa
kurudisha utafilisiwa mali zako.
AINA ZA MIRADI
a»>KILIMO

Kinaweza kuwa kilimo cha Masika

kwa kulima mazao kama
vile:Maharage,Alizeti,Ufuta,Mahindi,Mbaazi
n.k

unashauriwa kulima mazao kama
vile:Uyoga,matunda,Mboga(kabichi,pilipili
hoho,Bilinganya,bamia na Nyanya n.k
b»>UFUGAJI

asili,Nguruwe,Bata mzinga,kuku wa kisasa
(mayai na nyama),Samaki,nyuki n.k
c»>BIASHARA

zinazoweza kufanywa mafano;Kununua
mazao wakati wa mavuno na kuuza
yanapopanda bei,Biashara ya kitaalam
mfano Kliniki,Shule,Biashara ya kuagiza na
kupeleka bidhaa nje.
NAMNA YA KUANZISHA MRADI
i»Ukishapata mtaji tulia na omba ushauri
kwa wazoefu juu ya mradi wako-uwe makini
na watu utakaowaomba ushauri.
ii»Fanya utafiti wa kutosha kuhusu mradi
wako,mfano utafiti wa masoko,usifanye
mradi kwa kuiga (kufuata mkumbo)
iii»Fanya mradi ambao unaupenda
iv»Fanya mradi ambao una ujuzi nao kama
hauna ujuzi nao unaweza kuanza kwa kiasi
kidogo
v»Hudhuria semina za kimaendeleo au
soma vitabu vya kukufanya uelewe namna ya
kuendeleza mradi huo.
vi»Fanya biashara halali na kama kubwa
kidogo inahitaji leseni basi itafute leseni
husika.
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUBORESHA
MRADI WAKO
1»Tafuta ushauri wa kitaalamu kabla ya
kuanza mradi wako
2»Usikate tamaa kwa changamoto/
misukosuko unayoweza kukutana nayo
njiani.
3»Ufanye mradi wako na mambo yote kwa
bidii kubwa
4»Jiwekee malengo ya wiki,mwezi na
mwaka
5»Uwe mbunifu na unayekubali kujifunza
mambo mapya na kukubali kubadilika
KUMBUKA-Soko ni kitu cha muhimu katika
mradi wako kwa sababu mwishoni
ukishapata mavuno yako kwa shughuli za
itahitaji uziuze hivyo kuwa makini na mradi
unaochagua kwa sasa miradi ambayo soko
lake ni rahisi kulipata ni Kuku wa kienyeji,
kuku wa mayai/nyama
matunda,mbaazi,ufuta n,k
Kwa ushauri zaidi uliza kupitia Facebook-
ABDALLAH UMANDE
Email-
moc.liamg|11ednamu#moc.liamg|11ednamu
0769429140
au 0787747217….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI

A Ushauri wangu kwa leo

HUWEZI KUKATA KIU YA MAJI KWA KUNYWA SODA AU JUISI….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Ushauri wangu kwa leo

A Kilimo bora cha matikiti maji

Ili kulima matikiti maji, inakubidi uwe na sehemu ya kutosha, yenye jua la kutosha, maji mengi na ardhi yenye rutuba ya kutosha, matikiti maji hukua haraka kama mimea mingine ya jamii yake itambaayo mfano matango, maboga na makwash…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Kilimo bora cha matikiti maji

A Jiamini na Amini unaweza

*AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA.*….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jiamini na Amini unaweza

.

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Bamia Linafafanua Kilimo cha bamia
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.