Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Umeshawahi kufanya hili jaribio?, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako.

Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako

By, Melkisedeck Shine.

#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*

(1) 9+1=70
(2) 9+2=11
(3) 9+3=12
(4) 9+4=13
(5) 9+5=14
(6) 9+6=15
(7) 9+7=16
(8) 9+8=17
(9) 9+9=18
(10) 9+10=19

Nilipo maliza kuandika tu, nikaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu nilikua nimekosea swali la kwanza.

Nikawatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
`"Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana.Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi maswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."`

*HIVYO, HILO NI SOMO KWENU:*

`"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..."`

"`Hata hivyo usikate tamaa, MARA ZOTE SIMAMA IMARA NA USHINDE VIKWAZO VYOTE." `

🌺Nawatakia mafanikio tele katika wiki inayoanza leo🌺

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?, endelea kusoma...

β€’ Angalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri, endelea kusoma...

β€’ BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa, endelea kusoma...

β€’ Jinsi Muda Unavyopotea, Jifunze kitu hapa, endelea kusoma...

β€’ Kwa nini watu wanapenda pesa, endelea kusoma...

β€’ Mbinu 5 za kukunufaisha maishani, endelea kusoma...

β€’ Jipe moyo kamwe usikate tamaa, endelea kusoma...

β€’ Kushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa, endelea kusoma...

β€’ Mafanikio ya maisha sio Elimu tuu, endelea kusoma...

β€’ Elimu ya biashara, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.