Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Ushauri wangu kwa leo, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Hapa unaweza kutafuta ndugu zako

Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara

By, Melkisedeck Shine.

. HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA!

πŸ’₯Mama mmoja Mzungu alitembelea mlima Kilimanjaro miaka iliyopita. Alikuwa amepanga kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni, yaani Kibo na Mawenzi, ili hatimaye apewe cheti cha kupanda mlima mrefu Afrika.

πŸ’₯Lakini kwa bahati mbaya akiwa amefika katikati ya mlima alizidiwa kiafya na hatimaye akashushwa mlimani akiwa amezirai hadi hospitalini.

πŸ’₯Siku ya tatu alipozinduka hospitalini huku marafiki zake wakimpa pole, aliwajibu kuwa β€œMlima Kilimanjaro hauwezi kuongezeka urefu, lakini mimi mwanadamu nina uwezo wa kuongeza maarifa, nguvu na mbinu za kupanda milima wowote duniani. Kwa hiyo nitarudi tena wakati mwingine mpaka nipande mlima Kilimanjaro hadi kileleni, ingawa nimepata changamoto wakati huu.”.

πŸ’₯Alivyorudi kwao Marekani, alianza kufanya mazoezi tena ya kukimbia na kupanda vichuguu na vilima kwa muda wa mwaka mzima, na kisha mwaka uliofuata alirudi tena Tanzania, akapanda mlima Kilimanjaro mpaka kilele cha Kibo na mawenzi, na hatimaye akapewa cheti cha kupanda mlima Kilimanjaro!.

πŸ’₯Je huyo mzungu angeamua kusubiri mlima Kilimanjaro upungue urefu ndipo aje Tanzania kuupanda, jambo hilo lingewezekana?

πŸ’₯Je unataka maisha yawe rahisi ndipo uyamudu? Je unataka viwanja vishuke bei ndiyo ujenge nyumba yako? Je unataka ada za shule ziwe chini ndipo usome? Je unataka gharama za hospitali ziwe chini ndipo utibiwe? Je unataka mahari iwe chini ndipo uoe? Je unataka vitabu vya mafunzo ya biashara viwe bei chee ndiyo ununue? Unataka mshahara wako uwe mkubwa ndipo ufanikiwe? Je unataka shetani auwawe ndiyo umche Mungu? Je unataka dunia irudi nyuma, ndipo uweze kuyamudu maisha? Je, unataka urudi tumboni mwa mama yako ili uwe unakula na kulala bure? Ebo!πŸ™Š

πŸ’₯Kama nia yako ni kufanikiwa hutakiwi kujionea huruma, nenda kwa wakati na ujitoe hadi kieleweke.

Kila la kheri na pia nakutakia MAFANIKIO makubwa sana wewe na kizazi chako! Siri ya utajiri ni ubahil asikudang'anye mtu tumia hela ikuzoee hakuna aliyezaliw kuwa maskin!

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Ushauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika, endelea kusoma...

β€’ Hofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka, endelea kusoma...

β€’ Nia yako isishindwe, endelea kusoma...

β€’ Ugumu wa maisha huanzia akilini mwako, endelea kusoma...

β€’ Ushauri wangu kwa leo, endelea kusoma...

β€’ Mchanganuo wa Tsh 300,000/= kwa uzalishaji wa kuku wa kienyeji kwa faida, endelea kusoma...

β€’ UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI, endelea kusoma...

β€’ UKWELI KUHUSU MSHAHARA, endelea kusoma...

β€’ KARIBU KATIKA KILIMO CHA NYANYA, endelea kusoma...

β€’ FURSA YA UJASIRIAMALI KATIKA KILIMO CHA PAPAI, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A Je, unajua kwa nini hufanikiwi?, soma zaidi...
A Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio, soma zaidi...
A Angalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri, soma zaidi...
A FURSA YA UJASIRIAMALI KATIKA KILIMO CHA PAPAI, soma zaidi...
A Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako, soma zaidi...
A Mambo 13 katika pesa ambayo unapaswa kuzingatia, soma zaidi...
A Jifunze kupitia mfano huu Ili uishi kwa amani na watu, soma zaidi...

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.