Hii ndio inaitwa mbinu ya biashara

By, Melkisedeck Shine.

Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka🐈,
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka🐈,
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka🐈 mmoja, wanakijiji wanaenda
deep zaidi msituni, kamata Paka🐈, leta kwa
mchina, mchina anasepa nao.

Afu wiki
mnayofuatia Mchina anasema bado anataka
Paka🐈, saivi atanunua kwa Laki. Wanakijiji
macho yamewatoka, hawana tena paka🐈.
Mchina anasema basi ntaftieni kwa Laki na
Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga
anauza Paka kijiji cha pili, anauza kwa
100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta
wanaenda nunua Paka🐈🐈🐈🐈 wote wa kijiji cha
pili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana
Mapaka 🐈🐈🐈 wakijua watamuuzia mchina fasta kwa
laki na nusu, Mchina hatokei Ng'oooo!!!!
Infact, yule mchina alikuwa anawakusanya tu
na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja
wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji
hiki.
This is what called business strategy.πŸ˜ƒ

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Hii ndio inaitwa mbinu ya biashara;

a.gif Tabia za kuepuka ili uweze kuwa tajiri

UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINI…………
By Kashindi Edson.. endelea kusoma

a.gif FURSA HAIJI MARA MBILI: Jinsi unavyoweza kupata faida au hasara ukitumia Nafasi au fursa uliyonayo

Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisa
kubadilisha hali yako ya sasa na kukuweka kwenye
kiwango kingine kabisa cha mafanikio.Kuna watu
wengi sana ambao waliwahi kufikiria kuwa maisha
yao yatachukua miaka mingi sana kabla
hayajabadilika na kwa mshangao wao walipoanza
kufanya vitu sahihi wakakutana na mabadiliko
makubwa sana katika maisha yao kwa kupitia
fursa moja tu… endelea kusoma

a.gif Siri ya mafanikio katika maisha: Usiangalie watu

Waziri mkuu wa zamani wa uingereza Sir Wiston Churchill aliwahi kusema
"huwezi kufika mwisho wa safari yako kama utakuwa unasimama kila mahali kumtupia jiwe kila mbwa anaye kubwekea".. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] πŸ‘‰Sisi sate hapa tumeoza viuno

[Fumbo Kwako] πŸ‘‰Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

[Video Nzuri] πŸ‘‰Mashine ya kusaga kuku

[Chemsha Bongo Kwako] πŸ‘‰Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?

[Kichekesho Kwako] πŸ‘‰Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

kj.gif

a.gif BADILIKA : huu ni mwaka mpya

Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza.. endelea kusoma

a.gif Mambo ya kufanya mwezi Disemba

Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka… endelea kusoma

a.gif Ujumbe kwako wewe mwajiriwa au uliyeajiri

Kama umeajiriwa au pia umejiajiri ni mojawapo ya njia zinazokuingizia kipato maana wengi wanaanzia hapo mpaka kuja kufikia kule wanakohitaji.
Ila kuna maswali machache ya kukupa changamoto ambayo nataka ujiulize:-.. endelea kusoma

a.gif Kampeni ya kutetea watoto

Kampeni hii ilianzishwa na Melkisedeck Leon Shine mwaka 2018.
Lengo la kampeni hii ni kuhamasisha watu wote kuwakuza watoto kwa maendeleo bora ya kimwili, kiroho na kijamii kwa manufaa ya watoto na kwa manufaa ya watu wote kwa sasa na kwa baadae.
Kampeni hii inaamini kuwa watoto ni kama mali ambayo inawekezwa sasa kwa matumizi na maendeleo ya baadae… endelea kusoma

[Msemo wa Leo] πŸ‘‰Chema na kizuri

[Jarida la Bure] πŸ‘‰Jarida la kilimo bora cha matikiti

[Hadithi Nzuri] πŸ‘‰Jinsi mke alivyotoboa siri ya Mmme wake

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

ndugu.gif
nn.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.