Tafuta

πŸ‘‰ Dunia haijali mazuri yako ila ubaya wako, jiamini songa mbeleπŸ‘‡βœ”

Siku moja mwalimu wa shule aliandika ubaoni kama ifuatavyo:
9Γ—1=7
9Γ—2=18
9Γ—3=27
9Γ—4=36
9Γ—5=45
9Γ—6=54
9Γ—7=63
9Γ—8=72
9Γ—9=81
9Γ—10=90
Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanamcheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.

Mwalimu aliwatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
`"Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana. Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi mswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."`
Hivyo, hili ni somo kwenu:
`"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..."`
"`Hata hivyo usikatetamaa, MARA ZOTE SIMAMA IMARA NA USHINDE VIKWAZO VYOTE." `
JIAMINI

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Dunia haijali mazuri yako ila ubaya wako, jiamini songa mbele).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


"Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya upole."

Slide3-mabestimliopotezana.PNG
KJHGFDCVBNUYTRFGH.gif
FGH.gif
LLKJHGF.gif
KMNBVFTYHJ.gif

Expert available for Hire

Kijitabu cha Picha Kali Kina picha Nzuri za kufurahisha .
Soma%20Zaidi.gif
Look for baseline survey expert? Available for hire.
Soma%20Zaidi.gif