Msemo wa sasa ni kuhusu; Urithi wa mtu

IMG_20180109_191617.jpg

"Kila mtu ni mrithi wake yeye mwenyewe. Mafanikio yako ya baadae ni urithi wako ulioutengeneza hapo awali. Utajiri wako wa sasa unatokana na uliyoyawekeza miaka ya nyuma na utajiri wako ujao ni yale unayoyawekeza sasa."

πŸ“Misemo yangu mingineπŸ‘‡

Slide2-utotoni.GIF