Msemo wa sasa ni kuhusu; Kuacha jambo au kitu chochote

IMG_20180108_172800.jpg

"Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya kitu hicho kidogokidogo kwa wastani. Usijidanganye utafanya kidogo au utaacha kidogo. Acha Kabisa na usifanye tena."

πŸ“Misemo yangu mingineπŸ‘‡

Slide2-utotoni.GIF