images-7.jpeg

By Melkisedeck Shine

.

.

IMG_20170703_130412.jpg

"Maisha ya ujana ni kufanya mema au mabaya, kushinda au kushindwa. Uzee ni majuto ya ujana.."

.

.

images-12.jpeg

"Ukiweza kutumia vizuri kipaji au uwezo mdogo ulionao itakufanya uwe bora na mwenye sifa nzuri kuliko yule mwenye uwezo mkubwa."

.

.

images-17.jpeg

"Usimpe mtu ushauri ambao unahisi ataukubali sana, mpe mtu ushauri wenye manufaa kwake japo ni mgumu kuukubali.."

.

.

IMG_20170703_130916.jpg

"Nakukumbusha kuwa katika blog hii unaweza kusoma Vichekesho vipya kila wakati unapitembelea. Usipitwe na Vichekesho vipya vya kila siku.,"

.

.

Habari msomaji wangu…?

IMG_20170703_130508.jpg
Melkisedeck Leon Shine

"Uwe mzuri kwenye kufanya kama ulivyo kwenye kufikiri. Matendo yako yafanane na maneno na maneno na matendo."

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

width="70"

"Changamoto na ugumu wa jambo upo kwa wale wanaolifanya. Huwezi kukaa na kutazama jambo bila kulifanya na kisha kujua changamoto zake."

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa kuhusu Blog hii kwa ujumla

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

IMG_20170703_130432.jpg

"Maisha ya ujana ni kufanya mema au mabaya, kushinda au kushindwa. Uzee ni majuto ya ujana.."

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES