.

πŸ‘‰ Umakini katika kuwazaβœ…

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 16 Sep 2016 23:50. [Legal & Authority]

Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni.


Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda.


Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako


Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe


Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema

Marafiki-wa-enzi.GIF

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare video hii.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

Kichekesho%20KipyaMtafute ndugu yako usiyewahi kumuona hapa Na yeye anakutafuta sana hapaπŸ‘‰soma zaidiKizuri

Kichekesho%20KipyaTafuta Marafiki wote mliopotezana Hata nao wanakutafutaπŸ‘‰soma zaidiKizuri