Wakati wa kukomunika Kila mtu anampokea Yesu kwa namna tofauti kulingana na yeye alivyojiandaa, utayari wake, IMANI, na anachokitaka kutoka kwa Yesu. Mfano kama mtu anapokea tu kwa vile anapokea komunio na Yesu ataingia kwake tuu bila nguvu au kuonyesha neema zake, Kama mtu anapokea komunio kwa upendo na Yesu atakuja kwake kwa Upendo

Vile unavyompokea Yesu ndivyo na yeye anavyokuja na vile unavyokua tayari Yesu afanye kazi ndani yako ndivyo atakavyofanya kazi ndani Yako.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare makala hii kuhusu Tofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”


IMG_20170703_130405.jpg
Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Sala ndiyo chimbuko la fadhila. Kwa njia ya sala tunapata fadhila za Kimungu na Neema za Mungu. Asaliye daima hujazwa neema na fadhila.

Mungu Akubariki sana… Tuombeane!

SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

ni-halali-kwa-bikira-maria-kutuombes.JPG