.

πŸ‘‰ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Uaminifuβœ…

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 03 Jun 2015 04:54. [Legal & Authority]

Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu.

Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu

Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja

Upendo haukamiliki bila Uaminifu.

Ni kwa kiasi cha Uaminifu wako Mungu atakuhukumu

Kama unaweza kuwa mwaminifu katika jambo dogo basi hata Makubwa utakua mwaminifu

wadogo.gif

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare video hii.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

Kichekesho%20KipyaKutana na mabesti zako wa shule hapa Wewe pia ni besti wao mzuri sanaπŸ‘‰soma zaidiKizuri

Kichekesho%20KipyaHapa unaweza kuwakuta marafiki zako wa zamani Wanakupenda sana na wanakungoja uwatafuteπŸ‘‰soma zaidiKizuri