.

πŸ‘‰ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Kusali na Kuombaβœ…

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 23 Aug 2017 10:45. [Legal & Authority]

Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi.

Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini

Mungu yeye anasikia Sala zetu zote na kuzijibu zote.

Mungu hujibu na kutupa kile kilicho muhimu na kizuri kwetu kwa wakati huo.

Ni kama vile Mtoto anapomwomba mzazi wake wembe wa kukata kucha lakini mzazi hampi kwa kuwa anajua utamdhuru.

Vivyo hivyo Mungu hutupa Kile kilicho bora na sio tunachokitaka.

Uwezo wa Mungu ni mkuu na anaweza kutupa chochote tunachoomba.

Lakini kwa Upendo wake usio na mfano anatupa vile vilivyo vizuri kwetu.

Mtumainie Mungu kila wakati.

utotoni.gif

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare video hii.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

Kichekesho%20KipyaHapa unaweza kutafuta ndugu zako Na wao wanakutafuta sanaπŸ‘‰soma zaidiKizuri

Kichekesho%20KipyaNdugu zako wanakutafuta hapa Wapo kwenye mtandao na waoπŸ‘‰soma zaidiKizuri