YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

πŸ‘‰ Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevuβœ…

πŸ‘Baada ya kusoma kuhusu;πŸ‘‡
images-18.jpeg
πŸ’₯Leo nimekutayarishia makalaπŸ“œ kuhusu Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu.πŸ‘‡

πŸ’«Safari ya kupata fadhila ya UnyenyekevuπŸ‘‡

Leo tunatafakari kuhusu safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu,

Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata fadhila ya Unyenyekevu

Mungu ni myenyekevu kwa kuwa anaupendo na Uvumilivu

Ni vigumu kuishi kitakatifu bila Unyenyekevu

πŸ‘‰ Mungu ni MwaminifuπŸ“œ

MELKISEDECK-SUA.jpg

πŸ“Nini MaoniπŸ’­ yako Kuhusu Safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu? Niandikie hapaπŸ‘‡

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
IMG_20170703_130508.jpg

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

.

.

IMG_20170703_130412.jpg

"Sala ni kama chakula cha Roho, Bila sala roho inakufa. Tusali daima ili roho zetu ziwe hai siku zote.."

.

.

SHINE-MWENYEWE.jpg

"Upendo wa siku zote huo ndio upendo atakao Mungu. Chuki na unafiki ni tabia ya Shetani, umoja ni tabia ya Mungu."

.

.

IMG_20170703_130519.jpg

"Sala sio maneno mengi au maneno ya kurudiarudia. Sala ni maneno au hata neno moja la kimapendo litamkwalo kwa imani na kwa nia thabiti.,"

.

.

images-9.jpeg

Tumsifu Yesu Kristu….

Jina langu ni Melkisedeck L. Shine. Mwandishi wa Blog hii, Mimi ni Mkristu Mkatoliki

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa
Jina
Dini/dhehebu
Mfano Mwislamu, Katoliki, Lutherani, Mlokole n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

ABOUT ME | MY PERSONAL BLOG

.