Mungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi
Mungu ni mwenye upendo Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi.
Mungu yupo tayari kumsikiliza mtu yeyote mwenye dhambi kama ameutambua, amekiri na Kutubu makosa yake.
Mungu akishamsamehe mtu uovu wake anambariki.
Hakuna mtu ambaye hatasamehewa na Mungu kama Ametubu, amekiri na Kuomba msamaha wa makosa yake.
Mungu wakati wote yupo akisubiri wenye dhambi waende kwake kwa Toba ili awasemehe.
Lakini tatizo ni la watu wengi wanazani kua wakati wakiwa dhambini Mungu anakua amewakasirikia, Ukweli ni kwamba unapokua dhambini Mungu anakuonea Huruma na anatamani umrudie yeye.
Unaweza ukawa umetenda dhambi lakini hujamuasi Mungu, Kumuasi Mungu ni pale Unapoona kuwa Mungu hana nafasi katika maisha yako tena. Lakini ukiwa dhambini huku unamtumaini Yeye basi bado upo katika njia yake kwa kuwa yeye ni sawa na Baba kwako na kumkosea Baba yako sio kumuasi kama tuu utarudi Kuomba msamaha na Kuheshimu nafasi yake katika maisha yako.
πππUsisahau kushare makala hii kuhusu Mungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi.π Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!π―β

Ujumbe wangu kwako kwa sasa
Sala sio maneno mengi au maneno ya kurudiarudia. Sala ni maneno au hata neno moja la kimapendo litamkwalo kwa imani na kwa nia thabiti.
Mungu Akubariki sana… Tuombeane!
π Endelea kusoma kuhusu;-π

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..
amri_kumi
amri_ya_kumi
amri_ya_kwanza
amri_ya_nane
amri_ya_nne
amri_ya_pili
amri_ya_saba
amri_ya_sita
amri_ya_tano
amri_ya_tatu
amri_ya_tisa
amri_za_kanisa
asili
biblia
bikira_maria
daraja
dhambi
dhamira
ekaristi
fumbo
habari_njema
hukumu
huruma
ibada
ishara
ishara_ya_msalaba
kanisa
karama
katekesi
katoliki
kifo
kipaimara
kitubio
kuabudu
liturujia
maana
madhehebu
malaika
mapokeo
marehemu
misa
mitume
mpako_wa_wagonjwa
mtu
mungu
ndoa
neema
rehema
roho_mtakatifu
sakramenti
sala
sanamu
toharani
ubatizo
ufufuko
ufufuo
ufunuo
umwilisho
utatu_mtakatifu
utawa
uumbaji
uzima_wa_milele
vilema
visakramenti
vishawishi
wafu
watakatifu
yesu
Post preview:
Close previewMungu ni kila kitu
Nampenda Mungu kwa kuwa anahuruma na Upendo si mwepesi wa kukasirika na mwenye kughairi mabaya, Kama angekua hana sifa hizi ningemwogopa na kukata tamaa kwani angekua ni tishio
Mungu ni Upendo na Huruma wengine wote wana Upendo na Huruma lakini yeye Upendo na Huruma ndo Chanzo chake