.

πŸ‘‰ Mipango ya Munguβœ…

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 24 Dec 2016 13:09. [Legal & Authority]

Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisha kukosa yale mema Mungu aliyopanga kwao.

Sio kila jambo jema unalofikiri kulifanya ni jema, kama halipo katika mipango ya Mungu halifai na linaweza kuzuia yale mema Mungu aliyopanga kwako.

Kwa hiyo, jitahidi kufahamu mapenzi ya Mungu na kuyafanya ili uwe katika mipango yake.

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare video hii.πŸ‘ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!πŸ’―βœ”

πŸ“š Endelea kusoma kuhusu;-πŸ‘‡

Kichekesho%20KipyaMarafiki zako mliopotezana wanakutafuta Wanakungoja kwa hamu sana uwatafute na waoπŸ‘‰soma zaidiKizuri

Kichekesho%20KipyaKutana na marafiki zako wa enzi hizo hapa Wewe ni miongoni mwa rafiki yao wa kipekee sanaπŸ‘‰soma zaidiKizuri