a.gif Je, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu yesu,
Je, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu?
Ndiyo, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu. Katika umoja wa nafsi yake vipawa hivyo vinatenda kulingana na Umungu anaouchanga na Baba na Roho Mtakatifu milele.. read more...


a.gif Je, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu yesu,
Je, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?
Hapana, Umungu na utu wa Yesu vimeunganika katika nafsi moja visichanganyikane, kwa kuwa ndani yake hali hizo mbili zinatenda kila moja ya kwake.. read more...


a.gif Yesu ni Mungu au mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu yesu,
Yesu ni Mungu au mtu?
1 Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu. 2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu. 3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba. 4 Uzima ulikuwa ndani yake na uzima huo ndio ulikuwa nuru ya watu. 5 Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.. read more...


a.gif Je, anaweza mtu kusema, β€˜Yesu ni Bwana’?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Je, anaweza mtu kusema, β€˜Yesu ni Bwana’?
Hapana, β€œhawezi mtu kusema, β€˜Yesu ni Bwana’, isipokuwa katika Roho Mtakatifu” (1Kor 12:3) anayemtia imani ya kuwa huyo aliyetupwa na watu wake ametawazwa na Baba juu ya wote.. read more...


a.gif Yesu kuwa Mwana pekee wa Mungu maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Yesu kuwa Mwana pekee wa Mungu maana yake nini?
Yesu kuwa Mwana pekee wa Mungu maana yake ni kwamba, kabla hajazaliwa kama mtu duniani ni Mungu, sawa na Baba anayemzaa yeye tu tangu milele.. read more...


a.gif Kristo maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana yesu,
Kristo maana yake nini?
Kristo maana yake ni β€œAliyepakwa mafuta” awe kiongozi wa taifa lake walivyotabiri manabii wa kale.. read more...


a.gif Yesu maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana yesu,
Yesu maana yake nini?
Yesu maana yake ni β€œMungu Mwokozi”: alichaguliwa jina hilo kabla hajazaliwa, akitabiriwa kuwa β€œyeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao” (Math 1:21).. read more...


a.gif Nani Mkombozi wa watu wote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Nani Mkombozi wa watu wote?
Mkombozi wa watu wote ni Yesu Kristo, Mwana pekee wa Mungu, Bwana wetu.. read more...


a.gif Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa lini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa lini?
Yesu alitimiliza Agano la Kale kwa namna isiyotarajiwa hasa aliposulubiwa, akionekana na Wayahudi wenzake kama kwamba amelaaniwa:. read more...


a.gif Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria yesu,
Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?
Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. (Lk 1:35). read more...


a.gif Mama wa Yesu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria yesu,
Mama wa Yesu ni nani?
Mama wa Yesu Kristo ni Bikira Maria.. read more...


a.gif Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume yesu,
Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?
Yesu amemweka Mtume Petro kuwa Mkubwa wa Kanisa zima. (Mt 16:18-19). Halifa wa Mtume Petro ni Baba Mtakatifu.. read more...


a.gif Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa yesu,
Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?
Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa;. read more...


a.gif Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa yesu,
Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?
Yesu alianzisha Kanisa kwa nia ya Kuutangaza na kuueneza Ufalme wa Mungu (Mt 28:19-20). read more...


a.gif Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa yesu,
Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?
Hapana. Yesu alifanya Kanisa moja tuu.. read more...


a.gif Kwa nini Yesu alipaa Mbinguni?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Kwa nini Yesu alipaa Mbinguni?
Yesu alipaa Mbinguni ili;. read more...


a.gif Baada ya kufufuka Yesu alifanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Baada ya kufufuka Yesu alifanya nini?
Alikaa siku 40 katika nchi akaonekana na watu wengi akawatimizia Mitume mafundisho na kuweka Kanisa lake (Mt 28:16-20). read more...


a.gif Ni ishara gani zinazoshuhudia ufufuko wa Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Ni ishara gani zinazoshuhudia ufufuko wa Yesu?
Ni ishara zifuatazo;. read more...


a.gif Yesu alifufuka lini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Yesu alifufuka lini?
Yesu alifufuka siku ya Dominika yaani siku ya tatu baada ya kifo chake.. read more...


a.gif Yesu alikufa msalabani kwa kusudi gani? Kwa nini Yesu alikufa msalabani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Yesu alikufa msalabani kwa kusudi gani? Kwa nini Yesu alikufa msalabani?
Yesu alikufa Msalabani ili;. read more...